Popote ulipo jua bado nakupenda

Popote ulipo jua bado nakupenda

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
228
Reaction score
210
Najua nimekukosea sana mpenzi. Nimeenda kinyume ya agano la uhusiano wetu. Naomba unisamehe!

Haikuwa nia yangu, ni mipango mibaya ya watu. Nahisi kuna madawa waliniwekea kwenye kinywaji changu. Nisamehe sana Linda.

Vannesa, popote ulipo naomba umwambie Linda kuwa nampenda sana. Najua atakusikiliza we kwa sababu anapenda sana unavyoimba shemeji yangu.

Nimemisi sana ushauri wako juu matumizi mazuri ya fedha. Nitapata wapi mwingine kama ww?

Nyumba yangu sasa imekuwa gereza bila uwepo wako. Nimejaribu kwenda Geneva kupunguza mawazo ila bado nakuwaza.

Njoo uone nimetimiza ahadi yako...njoo uone nimekununulia ua zuri la Rose.

Mama na kaka wamekukumbuka sana Linda.

Valentine bila wewe ni tarehe ni sawa na tarehe Tarehe 1/12.

Popote ulipo jua kuwa nakupenda myahudi wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
InShot_20200213_183001803.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
when your body is older and your mind is still younger...this is what happen!!
never cry for a woman/girl that have no time for you even if you did small mistake ...this because her mind has nothing to do with you!! you just a bridge which anyone can pass and go for another destination....

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Najua nimekukosea sana mpenzi. Nimeenda kinyume ya agano la uhusiano wetu. Naomba unisamehe!

Haikuwa nia yangu, ni mipango mibaya ya watu. Nahisi kuna madawa waliniwekea kwenye kinywaji changu. Nisamehe sana Linda.

Vannesa, popote ulipo naomba umwambie Linda kuwa nampenda sana. Najua atakusikiliza we kwa sababu anapenda sana unavyoimba shemeji yangu.

Nimemisi sana ushauri wako juu matumizi mazuri ya fedha. Nitapata wapi mwingine kama ww?

Nyumba yangu sasa imekuwa gereza bila uwepo wako. Nimejaribu kwenda Geneva kupunguza mawazo ila bado nakuwaza.

Njoo uone nimetimiza ahadi yako...njoo uone nimekununulia ua zuri la Rose.

Mama na kaka wamekukumbuka sana Linda.

Valentine bila wewe ni tarehe ni sawa na tarehe Tarehe 1/12.

Popote ulipo jua kuwa nakupenda myahudi wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😀😁😅😄😃😉😌
 
Naona hamida katoa siri ya ile kitu.

Tutegemee clip ya Linda sasa.

Ila, plz your lady. Wew ndio wamjua, wafahamu umuhim wake, kazaa. Usisikize ya watu, fanya nafasi yako, weka ego kando. Mfate, and lover will bring her back.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na koootee kasoro tarehe tu isome tarehe za mwezi January watu ndio husema eti ni mbaya!
NB: Hivi kwa nini mtu akiondoka maishani mwako ndio unauna umuhimu wake??
Kama hajakublock msumbue asubuhi msumbue mchana msumbue jioni tuna hata clips unamlilia, msumbue sana! Wanawake tuna huruma, atakuhurumia!
 
Haitasaidia mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom