Leo nimepita mahali nimekuta vitu uvipendavyo

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Mwenzako sijaumbwa kuchukia ndio maana nipo fair. Tumeachana hilo najua Ila sichoki kukusalimia, ni salamu tu usihisi labda najipendekeza.

Leo nimepita mahali nimekuta vitu uvipendavyo kuna blocks, vitivo pia kuna waalimu.

Nina jeraha la akili, sababu yako. Kinachoniumiza na kunikondesha mama maneno yako, ukiongea nami mbali nakukumbusha.

Wajua mapenzi ni Vita ndio maana naogopa, umechoma kidole nimeumia mwili kwa kidonda kidogo.

Mbele yangu sura ya upole, nimepita sili nimekonda tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom