Mabinti msiojitambua amkeni

Mabinti msiojitambua amkeni

Lawrichie

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
897
Reaction score
2,533
TUJIFUNZE KITU HAPA
Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa namajini eti?
1f602.png
1f602.png
1f602.png

Hii dhana kujiona watoto wa mjini, wanawake wa kisasa sijui, basi ndo mnakuwa kama makuku ya kisasa kweli hamfai kwa kufugwa shida tupu!! Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia!! Ndo nyie sasa.

Yaani kiukweli wanawake wa siku hizi hata radha mmeisha kabisa. Unataka mwanaume akuoe wakati hujawahi kujiongeza hata kusema umfulie, kazi kumsifia kapendeza hujui hata anafuliwa na nani? Hujawahi hata kumpikia kazi kumsifia ananenepa hujui hata anakula wapi, halafu unataka ndoa? Kila siku ukienda gheto kwake we kazi kuulizia series za kikorea kama kaleta mpya, huulizi hata leo unanunua mboga gani nije kukupikia?

Mwanamke mzima bila haya unaenda kwa bwana wako unafika unalia njaa halafu unamuagiza kabisa akakununulie chips kuku! Halafu unataka atoe posa kwenu?? Kazi mnayoijua ni kuomba omba hela tu utazani watoza ushuru wa manispaa? Mkifulia Ndo mnajifanya kusema "Bby nimekumiss nataka nije leo" pumbavu kumbe pesa ndo inayokupeleka, mkishafumuliwa fasta mnaomba nauli na hela ya kula hata kukumbuka kutoa shuka utandike nyingine huna mda huo.

Tunawajua Sana ila tunawatazama tu mnajiona wajaanja kumbe mnajishusha wenyewe, haya mambo mnayaona ya kipuuzi lakini ndo uchawi kwa mwanaume ajue thamani yako, asifikirie kukupoteza hata siku moja, sasa nyie endeleeni tu kufuata hela, mnaenda kwa wanaume mmejikoki sadolin za rangi mdomoni, machoni mpaka mtu anashindwa kukukiss! Umefuga makucha utazani visu vya kukeketea??
1f600.png
1f600.png
sijui hata mnasafishaje maumbile yenu, unakuta unang'aa usoni utazani duka la wahindi lakini ndani unatoa uvundo
1f602.png
1f602.png
1f602.png

Aisee mtalalamika sana nawaambia, wanaume ndo sisi mnaotuletea nyodo ndo tunapaswa kuwaoa. Tutawanyoosha mpaka mjute kuzaliwa! Pendeni hela tuwazeeshe!! Na mtapata tabu sana...
 
Last edited by a moderator:
Unasikitisha sana mleta mada!
Asubuhi yote hii umekalia kuwasema viumbe waliokuleta duniani?
Nani amekudanganya kwamba wanawake wa sasa wanataka kuolewa?
Acha ushamba ndugu yangu.
This generation wanawake tunaolewa na ELIMU NA BIASHARA THATS ALL!
Alafu sisi wenyewe ndiyo tunaoa wanaume!
unisikilize vizuri sana, ndugu yangu Maana hiyo character ya huyo mwanamke unayemzungumzia labda ni dada zako tu!
Kwenda tafuta kazi acha uvivu kijana mdogo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume(baadhi)naomba mtambue kuwa na nyie mpo ambao hamjui mnachokitaka,...aki vile,.kuna wanaume wallah wanajua kupata vilivyo vyema na bora tena vya kupendeza machoni na rohoni lakini ajabu anaenda kuishia kwa mbandika makope,mikucha mirefu ova mdomo wa chuchunge,wavaa vikuku,waso staha na kila aina ya umjini,.wakiwatenda ndio mnaanza ooh Lord have mercy nimechezea shilingi choonii mfyuuuu,.too late tena, hata malaika wa mbinguni huwazomea, mnaishia kuwa masingo faza na kila mtoto na *****..

Mnapo pendwa mpendeke na nyie msitubeze sana akina mama,.wakati mkifanyiwa hisani moyoni mnajisemea "we mwache tuu ajifanye mama penda-penda"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol una mkulaaaaa weeee unamuacha kama muhogo wa kuchoma,.aiseee God is watching you guys nyie wafanyieni hivyo tuu mashosti zangu,.zamu zinakuja kwa Dada zenu na wanenu,.

Mama mchungaji nimetoka nje ya kanisa leo,.[emoji23][emoji91]
 
sema dada wakusikie mimi hata sielewi
 
[emoji23] [emoji23] mama mchungaji
 
Back
Top Bottom