Wanawake wanapenda kuambiwa uongo, hawataki kuambiwa ukweli

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Mwanamke yeyote yule kwake mazungumzo hua ni emotional treatment. Hawawasiliani ili kupata taarifa na kutatua matajizo (japo hawatakubali ila huo ndo ukweli) wao mawasiliamo yapo kuwafanya wajisikie vizuri ukimwambia ukweli mtakosana asubuhi kweupe ila mwambie uongo wa kumpendeza weeee mtakua marafiki hata papuchi atakupa.

Ukitaka mwanamke akuchukie mwambie au mshauri jambo lolote ukiegamia ukweli.
 
Eat like you love yourself..🤔
To eat what? You mean food?
 
Eee anataka uanze wewe kumdanganya ili anapo kumaliza wewe aondoke na uhai wako vyema kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom