Miaka tano hivi imepita baada ya Ex wangu kuniambiea ‘’nisiwe nang'ang'ania vitu vyenye thamani ya gari wakati hata spea ya piki piki sina”.
Mwana JF kauli hii aliniambia Ex wangu baada ya...
Wale wazee wa kudere X, zile zinaharibu sana, sasa ukute mtoto wa kike anaangalia X ujue huyo kashindikana, maana atataka ajaribu kila atakachokiona.
Hata haya mambo ya kuzama uvinza, kutuma...
Naandika si kwamba nahitaji ushauri, ila nataka ujifunze kama unatabia hizi na unahisi mpenzi wako hakujui.
Nilianza mahusiano na huyu dada miaka miwili iliyopita kule Moshi. Kwasasa naishi...
Kwanza Naanza Kuelezea Plan Zangu...
1. Nimejiunga Na Badoo Mtandao Pendwa Huu Watoto Wadada Wamama Majimama Kama Yote
2. Nimeanza Kujieka Nadhifu, Full Kuchomekea Very Smart
3. Napambana Nivute...
Poleni na majukumu na hongereni kwa kuhimizana namna ya kuidhibiti corona.
Twende pamoja.
Wakuu, ipo hivi: Hapa mimi ni msaka tonge kama ilivyo kwa wengine sasa mwaka 2017 kuna dada akawa mteja...
Sisi wanaume vyote tunavyofanya tunafanya kwa ajili yenu (Tunafanya kazi kwa ajili ya hapo njiapanda ya miguu yenu ilipootea)
Wanawake inatakiwa mringie sana hiyo kitu maana sisi tunaihitaji...
Hellow jamn,
Direct to the point.
Jpili ya jana niliona nitumie siku nzima nyumban sababu usk wa kuamkia jpili nikua tungi vibaya sikumbuki ata home nilienda saa ngapi.
Baada ya kuamka nikasema...
Binti mmoja nilimtokea wiki mwezi uliopita, binti yule kwakweli nilimpenda sana na nilijitoa kwa chochote alichohitaji.
Sasa moja kwa moja kulingana na umri alionao, alijikuta sana na kujiona...
Jamani tujitahidi kuwa wasafi tunapokuwa faragha na wenzetu. Umetoka safari angalau jisafishe uondoe jasho, paka mafuta na marashi.
Usafi ni muhimu kwenye majambozz wapendwa tofauti na hapo ni...
Aisee leo nimepanic kwa ghadhabu, hata nimesahau kuwasalimia.
Nina vijana wangu watatu wa kiume wote, umri wao ni miaka 13, 12 na 8 ambao nawalea mwenyewe [singo dadi] baada ya kutelekezwa na...
Ina maana mwanaume kumkataa mwanamke kimapenzi sio sawa, ila mwanamke kumkataa mwanaume kimapenzi ni sawa?
Kuna mdada mmoja juzi kati alikuwa ananionesha kwa maneno na kwa vitendo, ishara nyingi...
Tunasikia ndoa zina changamoto nyingi, lakini as long as mmeamua kwa hiari yenu kuishi pamoja na kula kiapo Cha "mpaka kifo kitutenganishe" basi tujitahidi kulinda viapo vyenu!
Huu ni mfano tu...
Mimi ni kijana mwenye miaka 30. Sijaoa, nina mpenzi mmoja rasmi na watatu wa "kugongana" nao. Sina mtoto hata wa kusingiziwa. Ni Engineer, nina mshahara na ninafanya biashara.
Niliacha pombe za...
Niliacha kazi serikalini mwaka 2016
Nikaamua kuzunguka mikoa ya baridi kupanda miti ya matunda (Napenda INVESTMENT kuliko BIASHARA).
Sasa bana mvua za msimu huu wa 2019/20 nimeamua kupiga kambi...
Habari zenu wana jamvi. Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia katika mahusiano ili tufunge ndoa .Sifa awe mrembo mchapa kazi mwenye upendo ,dini yoyote ila tukifikia hatua ya ndoa awe tayari...
Leo asubuhi Nilikua nafanya mazoezi ya kukimbia, ilikuwa ni asubuhi ya saa kumi na mbili, na ni barabara ambayo sijawahi kufanya joging. Wakati nikiendelea kukimbia kwa mbele kama nusu Kilometa...
Habari wanajukwaa. Samahani kidogo,
Nimekutana na changamoto moja kwenye mahusiano lakini nikaambiwa tatizo simfanyi mpenzi wangu kuwa MWANAUME.
Kiukweli sijaelewa ni kivipi naweza mfanya awe...
Hili swala nimekuwa nikilisikia, sijawahi kulishuhudia hata siku moja lakini leo nimeliona.
Mwezi kama mmoja uliopita kuna jamaa yetu alifariki, huyu jamaa tulisoma nae shule sekondari mkoani...
Ni yapi matumizi sahihi ya nyonyo (Maziwa/Matiti) ya kiume?
Nimekuwa nikijiuliza, jiangalia na kushangaa hizi nyoyo matumizi yake ni yapi?
Maana nafahamu fika matumizi ya vidole, macho, maskio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.