isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Ni yapi matumizi sahihi ya nyonyo (Maziwa/Matiti) ya kiume?
Nimekuwa nikijiuliza, jiangalia na kushangaa hizi nyoyo matumizi yake ni yapi?
Maana nafahamu fika matumizi ya vidole, macho, maskio, pua na mengineyo mengi ilhali nimeshindwa kutanabaisha na kuelewa matumizi na yaliyo sahihi ya nyonyo hizi za kiume.
Katika kila hatua ya elimu niliyopita hamna hata mkufunzi mmoja aliyenifunza matumizi ya nyonyo hizi ilhali nakumbuka nilifunzwa kazi na matumizi ya pua.
Mwenye kufahamu naomba anipe elimu katika hili.