USIANGAIKE KUSAKA CHIMBO JIPYA,HISIA ZINATIBIKA.
Oooh zamani tulienjoy mnoo sex,ila sasa,,,, Duuuuh nikipanda Mara moja Sina hamu.
Mke nae Wala viungo havisisimki Kama mwili umekufa...
salute wakuu
nimekuwa nakutwa na hili tatizo la kupenda kuhama hama. Yaani nikiwa mkoa mmoja lazima nitahama niende mwingine. Kama nimepanga nyumba labda mbagala nitahama niende bunju then...
Heshima kwenu waungwana
Mara nyingi tunapoingia kwenye mahusiano ya kimapenzi huwa hatufikirii kuachana ila suala la kuachana hutokeaga kama bahati mbaya tu kutokana na sababu mbalimbali...
Kama kichwa kilivyo hapo juu,
Imezoeleka kuwa mwanaume ndio huomba penzi kwa mwanamke, na sio mwanamke. Wanawake mjifunze kuwaomba unyumba wanaume zenu ili mdumishe na kunogesha mapenzi.
Utundu, utani, maneno makali, kujali, kuchepuka kisayansi ndio kunakonifanya nidumu kwenye ndoa.
Ni vitu vidogo vidogo sana, lakini ukivipangilia na ukavitumia kwa muda sahihi ndoa yako itakuwa...
Wakuu achana na ile mada mnayonishambulia mkidhani huyo mke aa mtu nmemgegeda kumbe hapana. shuka na hii..
mke aa mtu ambae anasimamia hii nyumba tulizoeana kuitana shemeji, mara kwa mara, na ana...
Sitaisahau hii.
Nikiwa zangu Advance form V kuna manzi moja nilikua namkubali sana, nilimsumbua sana lakini akawa anakaza, nikajipa moyo ipo siku atakubali, nakumbuka kuna siku akaniambia...
Ipo hivi, mara nyingi wadada mnateswa na midomo yenu kwenye ndoa, mnaropoka mnajibizana, mnakalipia utadhani na wewe ni mwanaume, midomo yenu miepesi kutoa neno bila kuchuja kwa waume zenu
Sasa...
Kuna ongezeko kubwa hasa wadada wakitafuta wenza wa kiume hapa JF! Sasa nawapa ushauri! Mara nyingi wababa tunavutiwa na vitu viwili mara ya kwanza ukimuona mdada: ni sura na umbo kama vile chura...
Hapa nazungumzia vibarua viliowahi kuota nyasi kisa unatupia pamba Kali hadi boss anaonekana mfanyakazi wako na hii kupelekea kufanyiwa figusifigusi hadi kufukuzwa kazi tukutane hapa!
Kwa kifupi...
Kwamba ukimuona Binti Fulani au Mwanamke Fulani anaonyesha Upendo mkubwa kwa Rafiki yake wa Kike / Mwanamke ambaye ana Mpenzi wake au Mumewe ( mwenye uwezo Kiuchumi ) basi jua ya kwamba hapo kuna...
Wakuu, hali yangu ya kiuchumi sio kwamba ni mbaya, HAPANA! nipo vizuri tuu napata ninachokitaka ila sasa kuna mtihani umenijia!
Kuna mama mmoja hivi mmiliki wa mabus ya mkoani, pia ana hotel...
Habari waungwana :
Jamani naomba kuuliza hivi kwanini Wanaume wa Pwani wanajua sana mahaba tofauti na wale wanaume wa bara
Wanaume wa bara kwenye kuonga aswa kina ngosha wapo vizuri hatari ila...
Kiburi, dharau, kauli chafu, ugomvi, ubishi na kero nyingine nyingi saaaaana vyote vya kwao.
Nasubiri ajifungue huyu akirudia kufanya mawili au matatu kati ya hayo niliyotaja namrudisha nilipomtoa.
Pamoja na kuwa kama taifa tuko kwenye taharuki ya gonjwa Hili la corona lakini hii haituzuii sis wanaume kuendelelea na mapambano yetu ya kila siku.
Na mapambano yetu siku zote hayakamiliki bila...
Leo nimeamka nikakumbuka 2 years back ambapo nilifanya kituko cha kijinga sana lakini ndicho kilichobadili historia ya maisha yangu.
Nilikuwa na boyfriend wangu niliyemuheshimu na kumpenda sana...
Habarini wanajamvi.
Katika pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na hili bandiko katika page ya mauki. Ni topic nyeti sana.....ambayo wengi tunaweza ona ni kawaida ila ni ukweli mzito.
Hebu...
Suala la uaminifu katika mapenzi kwa karne hii limekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi sana, wengi wemekuwa si waaminifu wakati mwingine kupelekea mahusiano hayo kufa.
Hivyo uaminifu ni muhimu...
MSIPOTEZE MUDA MLIOPEWA NA MUNGU, WA KUISHI NA MKEO AU MUMEO AMA MPENZI WAKO, KWA KUNYANYASANA NA KUGOMBANA. KUNA MUDA MCHACHE SANA WA KUPENDANA..!! TAFAKARI ANDIKO HILI:-
AYUBU 14 :1-2
Mwanadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.