Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,757
Sisi wanaume vyote tunavyofanya tunafanya kwa ajili yenu (Tunafanya kazi kwa ajili ya hapo njiapanda ya miguu yenu ilipootea)
Wanawake inatakiwa mringie sana hiyo kitu maana sisi tunaihitaji sana, msiitoe toe kama pipi, itoeni kwa malengo hiyo ni bidhaa adimu sana inaweza ikakubadilishia maisha.
Nashangaa mwanamke Kajaliwa umbo mzuri, rangi nzuri, sura nzuri, na hiyo kitu tena safi, halafu anashindwa kumiliki hata kiwanja hua nawashangaa sana mnakwama wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app