Sina kazi,sina pesa, sina msichana wala mke ila nina hofu na Mungu na nataman sana kupata mwenza kikwanzo kazi sina.
Elimu form 6 naishi kucheza mpira ndondo wanaita, na kuwa kibarua wa fundi wa...
Ever thought of couple Goals you can learn to achieve in your relationships? Think about it, in our work lives, there are things we put forward to achieving. Financially, there is always that one...
Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu Wana jukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, ni baada ya Vyuo kufungwa sasa tumerejea majumbani kama kawaida ya wanafunzi nikakaa...
Nilikua na mpenzi...nikamheshimu..nikampa baadhi ya siri zangu...nikamuamini. Nikajitahidi kumpenda kwa uwezo wangu na kumfanyia mema yaliyo ndani ya uwezo wangu. Lengo langu ni baadae tuoane...
Habari Wana jamvi,
Japo si mwenyeji sana humu nimelazimika kuandika uzi huu kutokana na tafiti nilizofanya juu ya mahusiano haswa pale ambapo unakuta umekutana na mwanamke kwa Mara ya kwanza ana...
Naomba kufahamu changamoto zilizopo kuwa na mtu msioendana kitabia. Mf : Mwanaume mtu wa dini lakini mwanamke sio mhudhuriaji wa maeneo ya ibada. Mwanamke muongeaji sana huku Mwanaume akiwa sio...
Kabla ya yote zingatia haya mambo machache
Hakikisha unachagua mwanamke aliye na maradhi yako(unavyovipenda)kwa maana yule mwenye umbile unalopenda wewe.
Kama unapenda chura tafute mwenye chura...
Wanaume mnawachukulia aje wanawake wanaojichora tottoo? Hasa wale wanaochora tattoos kubwa kwenye mkono, kwenye kalio au mapaja? Mimi mwanamke au mwanaume akichora tattoos kubwa kubwa namuona kama...
Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe
Jeshi la polisi nchini limemtia nguvuni mfanyabiashara mkoani Shinyanga Anitha Mayuma kwa tuhuma za kuandaa mauaji ya mume wake Festo Misonge ambaye alikuwa...
1. Falling in love is like being on drugs
That feeling of euphoria you get when you fall in love is the same feeling that drug users experience, according to one study published in The Journal of...
Habari Nina 30 miaka natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 kuendelea awe dini yoyote kabila lolote. Awe anajishukhulisha na chochote hata akiwa na watoto sio mbaya awe tayari kuchek afya pia asiwe...
Najaribu tu kuwaza, baada ya leo kuruka na Jane kesho Asha kesho kutwa Rozy na wengine kibao je kuna utofauti wowote wa ladha?
Lazima tubadilike maradhi mengi siku hizi kama umeoa baki na mkeo...
Kwa mwanamke anayetafuta mume, nicheck tufahamiane. Umri wangu late 30s, Mkristo, naishi Dodoma, so nikimpata aliye Dodoma pia itapendeza zaidi. Mimi ni mwajiriwa serikalini but pia nafanya mishe...
HII IMENIUMA SANA. Ukweli usemwe wazi wanawake ni wakatili hapana mfano chini ya jua.
Hakuna mwanaume hata kama ni mkorofi vipi atamhadaa mwanae ili kumuumiza mama yake mfano wa huyu mama...
Tangu nchi ipate uhuru haijawahi kutokea hata siku 1 wanafunzi wa vyuoni/mashuleni,nk wakakutana nyumbani kwa pamoja kwa muda mrefu kama huu tuliotangaziwa na Waziri Majaliwa, ilikuwa ni mpishano...
Kuna mtu anamiliki biashara ya kama laki mbili tu lakini usiku halali anaiwaza hiyo biashara tu,moyoni hana amani,akili haina utulivu na hata maisha hayana ladha wala amani tena kwasababu...
Wapendwa,
Kwa wenye ufahamu naomba msaada wa maana na matumizi sahihi ya maneno haya matatu NGONO, TENDO LA NDOA NA UNYUMBA. Nimeyasikia mara nyingi lakini sina hakika kama yanamaanisha kitu...
Habari wana Ndugu,
NIende kwa point moja kwa moja.................
Katika tafiti zangu nimegundua kuwa wanawake wengi saana hawapo kaika mahusiano na waliokuwa katika mahusiano wengi pia...
Wiki iliyopita nimekaita kamanzi kakaja na kijiji wakati nilikaambia kaje kenyewe tule bata ivi mabaharia misala kama hii waga mnafanyeje???
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.