Nimekuwa ni wakuondoka ondoka kishughuli na mtoto kumuacha nilishamwach mwaka mzim hatujaonana akiwa na miaka miwil badae nikakutananae nikakaa nae ila alikuw hatak kula hali ilonifany niwe...
Wasalaam wakuu.
Nipo na jamaa yangu, sio mwana JF,
Jamaa huyu amekuwa na mwanadada ayemwita mpenzi/mchumba wake yapata kipindi cha miaka mitatu sasa.
Jamaa yangu anaeleza kuwa mwaka mmoja wa...
Wakati mpo shule, kuna watu walikuwa wanaonekana wajanja sana kuanzia mavazi mpaka mfumo wao wa maisha.
Wale waliokuwa wanaonekana watoto wa kishua, wenye kujua kila style leo hii maisha...
Habari zenu wadau,
Samahani,
Pete nzuri ya kumvisha mtoto wa kike (Engagement Ring), ni ya aina gani? (Silver au Gold?
Na inatakiwa iwe na gram ngapi?
NB: Take it serious.
Mambo niaje?
Nyie wanawake ambao hamko ndoani, mkiingia kule muda ni mchache na Mambo ni mengi. Mambo ya romances sijui kubambiana Akama mnavyofanya na jamaa zenu kule hamna, jiandaeni...
Habari wana jf
Leo ni siku ya weekend nmetulia nyumbani. Kama mjuavo serikali imezuia mizunguko isiyo ya lazima. Nkasema leo niangalie movie inaitwa FIRE PROOF MY MARRIAGE kuzuia nisiondoke home...
Hali ni mbaya
Kesi nyingi ni imported
Muhimu kupeana tahadhari maana madanga yanachanganya sana.
Jana alikuwa na mnaijeria leo yupo na mfilipino au mmarekani. Watatuuwa hawa.
Tufunge zipu...
Huu ugonjwa umewaathiri vipi katika mahusiano yenu? Kwa sababu najua mapenzi au mahusiano yana mambo mengi, kuna kukaribiana karibu, kugusana, kuleteana zawadi, kunyweshana vinywaji, chakula...
" Nataka gauni langu niliyokununulia siku ya valentine " hizi kauli mara nyingi imesikika kwa wanaume ambao wameshahonga kwa wanawake zao kipindi mahaba yamepamba moto haswa anaweza akakununulia...
Dunia imekwisha jamani! Yamemkuta rafiki yangu, rafiki yangu ni baba wa familia ya watoto 3, yeye na mke wake wanaaminiana sana. Rafiki yangu ni dereva wa kampuni ya ya mafuta huwa anasafiri sana...
Wakuu vipi,natumaini mko poa na hii wkend tulivu isiyokuwa na bashasha.
Kwa mtazamo wangu wkend haiwezi kwenda au kuisha vizuri kama hukupata uno kwa mwenzi wako.Miaka ya nyuma kidogo kuanzia siku...
Niaje wazee.
Leo nimepigwa na butwaa sana.
Ishu iko hivi!
Kuna jamaa mmoja hivi ambae kwasasa yupo kwenye mahusiano na na mwanamke ambae nilishaachana nae (ex wangu), huyo jamaa nadhani...
Kuna huu umri wa kuanzia miaka 30+ kwa wakina dada,ni umri hatari kweli hasa kwa hawa ambao hawajaolewa au single M; baharia ukipita tu kimasihara,atakuganda kweli kweli kama mumewe haijalishi...
Hello friends.
Natumai mko poa sana mnaenjoy w'end tulivu.
Kwa wanaume wenzangu au hata wanawake kama umewahi kutongoza lakini, tushirikishane kama kichwa cha mada kinavyoelekeza.
Binafsi...
Habari ndugu zangu,
Niende kwenye point moja kwa moja. Mimi nimekuwa nikiifatilia JF kwa muda mrefu zaidi ya miaka miwili sasa.
Mimegundua kuwa hapa ni sehemu sahihi na unaweza kupata au kutatua...
Habari za siku nyingi waungwana..
Ewe Bachelor mwenzangu unayehangaika kutafuta mke sehemu mbalimbali hadi huku mitandaoni bila mafanikio hii ni habari njema sana kwako......Fuatilia.
Sio jambo...
bonjour wana jf ! umri wangu ni miaka 32 ni mfanyabiashara naishi singida, Elimu yangu ni chuo. nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo ili awe mke wangu ! awe mcha mungu dini yoyote,awe na umri...
Kwa hakika upweke ni mbaya sana unaweza jikuta unajinyonga ndani Peke yako, ninatafuta mwanamke umri kuanzia 20 mpka 28 , awe anajielewa na anapenda kujishughulisha, ila awe tayari kuhamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.