mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Binti mmoja nilimtokea wiki mwezi uliopita, binti yule kwakweli nilimpenda sana na nilijitoa kwa chochote alichohitaji.
Sasa moja kwa moja kulingana na umri alionao, alijikuta sana na kujiona matawi ya juu sana. Aisee yaani ikawa nikituma ujumbe unaweza kujibiwa baada ya dakika hata 50, ukipiga simu kupokea ataamua mwenyewe kulingana na mood aliyonayo muda huo.
Nikasema anhaa sawa sawa.
Nikaona isiwe shida, nikafuta namba na kumpotezea tu ingawa nilimgharamikia sana baadhi ya mambo. Lakini nkajisemea moyoni tu kuwa huyu hanitaki hivyo sina budi kujiengua.
Nilipopiga kimya naye akapiga kimya
Wiki mbili zikakatika, kibaruani alipokuwa anafanya akaacha / akaachishwa.
LEO NIMEAMKA NAKUTA ujumbe unasema "Naomba kuzungumza nawe"
Nikamuuliza nan samahan? anasema mimi "FULANI"
Nikamwambia je? naweza kukupigia unipe huo ujumbe? Akadai kuwa anataka kuonana nami LIVE...
Oooo nkajua huyu tayari ameona umuhimu wangu. Sasa hapa nangoja mda ufike nikasikilize huo ujumbe.
ILA
Kiukweli nilishamtoa akilini, yaani hayupo kabisa na kibaya zaidi nimeshafanya "replacement" Sijajua ujumbe wake utahusiana na nini lakini kikubwa simhitaji tena na akilazimisha mahusiano tena atakuja apate maumivu ambayo hajayatarajia.
UJUMBE
"Ukipendwa penda, utakujapenda usipendwe"