Mother kanipaishi ndege wangu

Mother kanipaishi ndege wangu

Charge

Member
Joined
Jun 17, 2019
Posts
91
Reaction score
166
Hellow jamn,
Direct to the point.
Jpili ya jana niliona nitumie siku nzima nyumban sababu usk wa kuamkia jpili nikua tungi vibaya sikumbuki ata home nilienda saa ngapi.
Baada ya kuamka nikasema ngoja nitumie siku ya leo kuishi katoto kazuri kamoja hivi.

Baada ya ya show kidogo tuko mapumziko mzeee kapiga simu.Baada ya story za hapa na pale akanipasishia simu mama.
Picha likaanzia hapo,ohoo jana tumetoka kutoa mahari kwa fulani sasa bado wee sitaki mwaka kesho upite hujaoa.
Sawa mama nikiwa nishajipanga nitaoa ngoja nitafute pesa kwanza.
Hapna kama kutafuta mtaanza wote chini kwani mm na baba ako tulianzaje.
Sawa mama ngoja nianze kumtafuta(nikajichanganya kusema hizi wakati nipo na demu pembeni) nilikuja kushituka badae.
Ehee mwanamke kwanza ninae mtaka awe mzuri-iki kitu anakusema kila siku, mrefu kama mawifi zake.
Kwenye urefu sasa ubaya zaidi demu alisikia na demu ni mfupi.
Kusikia vile nikaaga fasta make nilijua atalianzisha dude na mama atasikia.

Duh picha linaanza ohoo kwa hiyo sisi wafupi hatupendwi ehee,sijui nini....
Kaliongea weee nikatuliza bila mafanikio akamua kusepa

Ameniambia haonifuture make sifa ya urefu hana na mama mkwe ndo anapenda.

Nimetulia kwanza nione ni hasira au katarudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandikaa mengi ,sasa unaoa na bado unaishii kwenu utapigwa mbele ya mke wako shauri yako
 
Kunasehemu nimeandika naona na naishi kwetu,jamn watu watembea na mizigo vichwani mnatafuta sehemu za kutupa.
Sio unaongea tu.

Have the possitive energy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Watu wafupi huwa katika warefu hawana tofauti na watu weusi katika weupe
 
Hellow jamn,
Direct to the point.
Jpili ya jana niliona nitumie siku nzima nyumban sababu usk wa kuamkia jpili nikua tungi vibaya sikumbuki ata home nilienda saa ngapi.
Baada ya kuamka nikasema ngoja nitumie siku ya leo kuishi katoto kazuri kamoja hivi.

Baada ya ya show kidogo tuko mapumziko mzeee kapiga simu.Baada ya story za hapa na pale akanipasishia simu mama.
Picha likaanzia hapo,ohoo jana tumetoka kutoa mahari kwa fulani sasa bado wee sitaki mwaka kesho upite hujaoa.
Sawa mama nikiwa nishajipanga nitaoa ngoja nitafute pesa kwanza.
Hapna kama kutafuta mtaanza wote chini kwani mm na baba ako tulianzaje.
Sawa mama ngoja nianze kumtafuta(nikajichanganya kusema hizi wakati nipo na demu pembeni) nilikuja kushituka badae.
Ehee mwanamke kwanza ninae mtaka awe mzuri-iki kitu anakusema kila siku, mrefu kama mawifi zake.
Kwenye urefu sasa ubaya zaidi demu alisikia na demu ni mfupi.
Kusikia vile nikaaga fasta make nilijua atalianzisha dude na mama atasikia.

Duh picha linaanza ohoo kwa hiyo sisi wafupi hatupendwi ehee,sijui nini....
Kaliongea weee nikatuliza bila mafanikio akamua kusepa

Ameniambia haonifuture make sifa ya urefu hana na mama mkwe ndo anapenda.

Nimetulia kwanza nione ni hasira au katarudi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii likizo ya Korona itasumbua sana humu majamvini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom