YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 570
Kwanza Naanza Kuelezea Plan Zangu...
1. Nimejiunga Na Badoo Mtandao Pendwa Huu Watoto Wadada Wamama Majimama Kama Yote
2. Nimeanza Kujieka Nadhifu, Full Kuchomekea Very Smart
3. Napambana Nivute Ka Ndinga Japo Najua Hii Mimama Itakua Vizuriii
4. Wakuu Naombeni Mniongezee.....
NOTE: kuna watu hujifanya kuwa na nguvu ya kukemea vitu hadharani, lakini mioyoni mwao wanachofanya ni kilekile wanachokikemea
Sent from my iPhone using JamiiForums