Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Mimi ni kijana mwenye miaka 30. Sijaoa, nina mpenzi mmoja rasmi na watatu wa "kugongana" nao. Sina mtoto hata wa kusingiziwa. Ni Engineer, nina mshahara na ninafanya biashara.
Niliacha pombe za kila siku ila nakunywa John Walker siku za Jumamosi pekee. Nazingatia diet sana.
Naishi eneo kati ya Africana na Jogoo. Sishabikii mpira wala mchezo wowote, napenda kutoka sana
Pamoja na all the above, SINA FURAHA!
Najiuliza je, ndo muda muafaka wa mimi kuwa na familia ili nipate furaha? Perhaps kuwa na mtoto nacheza naye kutanipa furaha.
Wakuu mlioamuaga kuwa na familia, iliwafika situation gani ukaona hapa inabid nioe au uliharakisha tu kuoa na sasa unajutia? Na je, unayemuoa ni yule ambae umempenda yaani sana au tuu ilimradi anakidhi vigezo?