We mwanamke ebu nifungulie hiyo PM yako

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,673
Unajifanya una kaustaarabu flani hivi ,unajua nini mwanaume anahitaji,una Vision ya maisha ,
ila unaonekana ni Mvivu wa kupika hiyo ni kulingana na coment zako nyingi nilizozifatilia,

We mwanamke nimekuja PM kwako mara kadhaa naona Umefunga na kufuri la chuma ,

Ebu fungua basi hilo kufuri lako Zero IQ nataka nije niweke uwekezaji wa kiwanda cha Uchakataji ,
Dhumuni nije nikuletee mikataba mezani ukikubaliana na terms zangu tufanye kazi .


Pliz ukipita hapa usisite kunipa mrejesho kama tayari umefungua hiyo PM ili nijongeee taratibu na mikataba yangu.


CC Zero IQ
 
Naunga mkono hoja na afungue mrejesho tutaupata kule kwenye tunda kimasihara.
 
Hawa dada zetu wana huruma unaweza kufunguliwa pm,sema huu mwezi unaruhusu kwake?
Screenshot_20200425-112357_Chrome.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom