Ninapokubalika tu napoteza appetite. Nini shida?

Ninapokubalika tu napoteza appetite. Nini shida?

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2019
Posts
490
Reaction score
1,024
Hello ladies and gentlemen. I hope mko poa.
Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda.

Kuna inshu naichukulia poa but naona yazidi kuniathili kila kukicha.

Binafsi napompenda mdada huwa nipo serious naye na napambana bila kuchoka .Huwa nipo tayari kutumia gharama, muda na maarifa yote kumpata. Na huwa sichoki naweza mfatilia hata miaka 3,4 mpaka 5.

Chakushangaza pindi tu mdada anapoanza kuonesha dalili za kunikubari basi naanza punguza hamu nae na kumuona wakawaida..

Hili limekuwa likiniathiri zaidi kwenye mahusiano yangu maana baada ya bint kukubari kuwa na Mimi na akaonesha kunielewa basi huwa namchukulia poa sana , ila atakapoanza kunisumbua ndo naanza kuhaha na natambua thamani yake na akikubari tukisuluhisha tofauti tu namuona wakawaida tu. So najikuta nawapoteza wanawake naowapenda na walonipenda kimasihara.

Natambuwa uwepo wa wanasaikolojia humu JF, hebu nisaidieni nina shida ya kisaikolojia au najiendekeza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unatafuta kukubalika na wanawake ili ujiskie proud of yourself.
you get pleasure not from having a woman, but from being accepted by a woman.
huna tofauti na mwanamke anaetafuta attention ya wanaume ili ajiskie anapendwa.
una low self-esteem ndo mana unataka kuiboost pride yako kwa kutafuta acceptance from these women.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hvyo ujue ujapenda bado, ukipenda uwezi fanya hayo unayoyafanya
 
Napatikanaga sana kaka. Mara ya mwisho nilikuwa npo college nkampenda dem mmoja ivi huwezi amini sikuwa nasoma wala nalala kwa wakati mana nilimpenda kichwa kuuma. Nilkuwa radhi nimpigie simu japo anitukane tu nafarijika. But siku alonambia you gonna be accepted basi ham ikapungua nilikuwa siwezi pitisha siku sijamtext au ku call but nikawa namtafuta kwa wiki Mara moja. Hadi najishangaaga mwenyewe sometimes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee unaonekana unapenda kuzunguka, kuhangaika, na kuteseka na wanawake bila kujua!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kaka tena huwa nina umakini sana katika kuanzisha mahusiano na nina historia ya mahusiano machache sana niloyaanzisha. But hayohayo machache kwa hawohawo mabinti ninao wakubari nakuwafatilia kwa muda mrefu ndo hunikuta hali kama hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Validation..ndo inakusumbua

Hujioni kama mtu wa thamani
Unahangaika kutafuta validation kutoka nje ..

Huna furaha from within..
So what are solution.? Mana hii hali hata kwenye maisha mengine pia ipo. Kwa mfano naweza dream pc ya Apple na ikawa inaniwazisha but nikiipata tu naichukulia poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom