Watu wanakulana sana kwenye whatsup group

Ila tuseme kweli hizi old school group watu wanakulana sana
Mungu shahidi sijawai japo ex wangu wapo huko. ila unatongozwa na mtu Wala hukuwai kumfikiria. yaani haya magroup acha tu
Kuna mwenzetu mke wa mtu Ana mimba ya classmate from group. Na Ana mume mzuri tu maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
Magroup hayajawahi acha mtu salama hata siku moja ...[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tuseme kweli hizi old school group watu wanakulana sana
Mungu shahidi sijawai japo ex wangu wapo huko. ila unatongozwa na mtu Wala hukuwai kumfikiria. yaani haya magroup acha tu
Kuna mwenzetu mke wa mtu Ana mimba ya classmate from group. Na Ana mume mzuri tu maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
Asifiaye mvua ujue imemnyeshea tena ya mawe

wali nazi maharage nazi
 
Back
Top Bottom