Eti Dr wa kiume kumhudumia mke wako/mpenzio ni sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Dr wa kiume kumhudumia mke wako/mpenzio ni sawa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kokudo, Jan 19, 2011.

 1. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Inanipa shida sana kila nikifikiri jinsi dr wa kiume anamhudumia mke/mchumba wako je wakikutana nje ya kazi inakuaje?haiwezi kua ndo uraisi coz keshamuona kila ki2?Eti nyie kina dada mnalionaje hili na je nyie wakaka mnakubaliana na hili?
   
 2. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  ngumu kumesa!
   
 3. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sioni tatizo hapo na mpaka wakakutane nje ya kazi wanatafuta nini?? Matibabu yanaishia ndani ya hospital
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  What about dokta wa kike(au nurse) kumhudumia mgonjwa wa kiume?
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  kokudo (Kokugila = Kokukolwa)!

  Wateja wako wote wa kiume unaowahudumia huwa mna-do baada ya kazi?
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  BE mwambie hivi "Ekikushobeza okishobeza na nyokozala kakushobeza oshobeza omuwara"
   
 7. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Me sikubali mtu wangu, maana kuna siku nimempeleka demu wangu hospitali nikamkuta dokta wa kiume, kidogo akataka abaki na mgonjwa nikaruhusu,ndani ya dakika chache jamaa akaanza kumtongoza, ili kuniondoa apate nafasi zaidi akatoka nje na kuniagiza nikanunue vifaa vya kumuhudumia mbali na pale ujinga wake akajua nitamwacha na demu, sasa machale yakanicheza nikamwambia demu twende nae, kurudi akataka akampime mwenyewe, demu alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya tumbo kama wanawake wengine, yeye akajifanya anataka kumpima mpaka kwenye njia ya mkojo hivyo ina maana lazima demu angevua chupi, nikamkataa asimuhudumie yeye mpaka aje dokta wa kike, na hapo demu alikuwa hajaniambia kama kashatongozwa zamani.
  maana alijua angeniambia pangechimbika.
   
 8. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  wivu tu
   
 9. RR

  RR JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mke wangu alipo:mimba:.....nilitamani niingie darasani niwe gyne.....

  Zamani walikua wanafnaya hivi....
  [​IMG]
   
 10. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Ni hao hao wanaume wamesomea na kuwa hadi maprofesa. Sijawahi kuona tatizo la kufanya hayo mnayosema maana anatimiza wajibu wake kikazi na baada ya hapo hakuna kinachoendelea. Kutongozwa ni kawaida na sio madaktari wote wana tabia hiyo. Kama demu wako hatongozwi loh! Ana kasoro gani jamani maana mwanamke asipotongozwa sijui kama hiyo ni kawaida ila haimaanishi akitongozwa ndio keshakubali labda kama ni mgawaji hodari. Acheni wivu usio na maana madaktari wako kazini kama ambavyo daktari mwanamke anaweza kumhudumia mwanaume hadi vyumba vya operesheni.

  Binafsi nilisumbuliwa na tumbo for years na madaktari wangu wote, walikuwa wanaume na walionifanyia operesheni ya kwanza ni professor mwanaume pale Muhimbili. Operesheni ya 2 nilikwenda Asia, ambako hospitali niliyochagua kutibiwa Idara yote ya wanawake inahudumiwa na madaktari wa kike tu na kuingia huko wanaume wanaishia mlangoni (hawakatazwi kuingia, ila niliona ni mila yao na desturi kwamba hawaoni sababu ya kuingia ndani ambako wamejaa wanawake tupu!). Madaktari walionifanyia operesheni walikuwa wanawake, ila theatre nilikuta wanaume 2 ambao walikuwa wanahusika na madawa kule kwa ajili ya operation. Sasa kama hamtaki wake zenu wahudumiwe na madaktari wanaume, badilisheni mfumo ili wanaotakiwa kutibu magonjwa ya wanawake wawe madaktari wanawake, huo ni utamaduni wa hospitali niliyotibiwa na kufanyiwa operesheni ya 2 hukooo bara Asia.

  Acheni kuwawazia wanawake mambo mabaya mabaya tuuu siku zote. Yaani nyie kila mkiamka mnawaza kutupakazia tu, enh! Jamani ingelikuwa kweli si tungeshawamaliza madaktari wote? Hawana hata mpango wanapotupima zaidi ya kufurahia kazi yao tu, labda wachache wenye tabia mbaya. Ondoa hofu kama mkeo anakupenda na hana tabia za kugawa ovyo.
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mwenyewe
   
 12. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ebooo! yan madume mengine bwana yanasikitisha sana! au ulitongozewa ukampata huyo demu! wewe kama humwamini demu wako ni dhahiri kwamba unajua hakupendi, ya nini mateso yote hayo ya kufuatana kama kumbikumbi! kama akimkubalia huyo dr ni dhahiri kwamba hata wengine wakirusha ndoana wanamnasa! yan huyo dr na demu ni vicheche kwa taarifa yako! Ukutane na demu anayempenda dume wake umtongoze muda huo huo anasema kwa man wake! au anakwambie mwombe basi ruhusa jamaa wangu akikubali nitakupa
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwa dr cku izi mnaingia wote na kuna vti 2 kabisa
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamani nani kachokoza shemeji zangu tena
   
 15. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ni namna ulivyoielekeza akili yako kukubali mambo; sawa na yule asemaye bibi kizee yeyote mchawi!
   
 16. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ni kweli unaweza kuwa ni wivu but ma dr wa cku hz hawana maadili kazi kuwashkshk mpaka m2 anaanza kuckia khali tofauti.sasa hapo c vita mura
   
 17. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  ile kesi ya dr wa maria stopes mwenge ya ku wa do wagonjwa wa kike imeishia wapi?
   
Loading...