Next week: Ukweni for the first time

Acha roho mbaya mrembo!Ngoja ni kuombee kijana!Eehee zee la madevu naomba umbariki huyo kiumbe mwenye uchu wa ngono, madaraka, pombe na pesa! Umpunguzie ule umri wake wa kula bata hapa mjini na ikiwezeka kwa uweza wako mpe uhamisho wa kudumu akaishi aheraa Amina!!
I would really appreciate it if you would stay outta my hair..THANK YOU!
 
Kwa mila na desturi za kitanzania, ukweni ni pahala pakuonyesha ni dhamu ya hali ya juu.Hivyo epuka tabia zako za urafi,umbea, upayukaji,uchafu,uzizi, uvivu,uchoyo na kiburi pia kama unaenda shemeji usitumie mwambie kulialia na kusema ovyo asidhubutu maana wakwe mtawatia majaribu.Nakutakia safari njema dogo.
 
Mmh...
 
Sikutakii mema huko kwa sababu huyo unayemfuata ukweni alinitolea nje akakukubali wewe.
 
Bramo unachotakiwa kaka ni ku Relax... na uwachukulie kama ndugu zako... after all ndio mwaungana... Hakikisha umevalia vizuri but usizidishe saana, alafu kama ni mpenzi wa Perfume... Please just a drop - usimiminie nyiiiingi, na kama ni mtu wa swagger fulani hivi... nakusihi usilete pose saana.... Hata hivo kuenda kwa Wakwe siku zoote lazima onesha nidham... kama uko saaana nervous technique moja wapo ni kutanisha mikono yako mbele (yaani ka kwa adabu fulani...) sio kifuani - usawa wa chini ya kitovu.... wakati wa kutoka kutanisha mikono yako nyuma.... Kwa wale wanaoelewa it speaks volumes about the mchumba... Make a KILLING first impression... it will last siku zooote ktk akili yao... BEST OF LUCK...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom