Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,225
36,239
Habari za mwisho wa wiki, natumai mnaendelea vyema kulidhibiti janga la dunia kwa sasa.

Leo nikiwa napata mlo wa mchana nilikaa pembeni ya dirisha kiasi nikawa nawaona wote wanaopita mtaani.

Mara akapita baba mmoja ambaye anaishi na mtoto wake wa kiume tuu (singo faza), wenyewe wamevaa barakoa, kofia za kapelo mdogo mdogo sikujua wanaelekea wapi Ila niliwasindikiza kwa macho hadi walipopotea machoni pangu.

Kijana wake ni mkubwa tuu kiasi wanataka kulingana urefu Ila baba amezidi urefu kiasi.

Huyu baba anaendesha gari meaning wa Nissan Navara Ila ni Toyota zile zina double cabin.

Kiufupi huyu baba huwa namhusudu sana hana mazoea na mtu yuko kivyake vyake zaidi ya Salamu hana habari, pia anaonesha ni mtu wa mazoezi maana siku nyingine huwa anafunga baiskeli nyuma ya gari yake.

Mwili wake sasa...ile ile miili nnayoizimikiaga ya kinyamwezi bin kisukuma yeeuwiiihh...

Nimemtamka kuwa ni baba mlezi, sababu muda mwingi anakuwa na kijana wake na sijawahi kumuona akiingia jinsia yeyote ya kike pale nyumbani kwake. Naona amejitoa kwa malezi ya kijana wake...nilimkuta hapa mtaani hivyo sijui kama hakuwahi kuoa kabisa au mkewe alikifa au mke alimkimbia....

Sijui kama yuko humu Ila singependa ajue maana ntakuwa na aibu kila nikimuona.

Roho imenitua kuusifia uumbaji wa Mungu.

Ever Smiling Kasie.
 
Gari ya aina ya Nissan Navara ila ni Toyota Double Cabin.... Kasie vip umechanganyikiwa sana na baba mlezi au mm ndio sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app


Nimesharekebisha, ni mfano wa na si aina...

Picha hii hapa...
download.jpeg


Ever Smiling Kasie.
 
ha ha ha nipe mikakati ya kuondoa hiyo hofu

Make a new hobby like kujifunza kushona, kuchora Ila fine art, kuwa na bustani ya maua au mboga mboga, kuimba au kucheza mziki au jifunze lugha mpya.

Vyote hivyo unajifunza online bila kukaribiana na mtu na kupunguza maambukizi.

Mie Mahaba yananikeep busy plus kupika new foods.
 
Make a new hobby like kujifunza kushona, kuchora Ila fine art, kuwa na bustani ya maua au mboga mboga, kuimba au kucheza mziki au jifunze lugha mpya.

Vyote hivyo unajifunza online bila kukaribiana na mtu na kupunguza maambukizi.

Mie Mahaba yananikeep busy plus kupika new foods.
ha ha ha mahaba yanakukeep vipi bize?
 


Nimejikuta nawaza, wanawake huwa tunatambuana miili yetu kwa kusema size za nguo mfano mie sasa hivi navaa size 8 au size 16 hapo tunatambua kwamba amenenepa au amepungua...

Sasa sijui size za wanaume... Natamani niseme size ya mwili wake ila ni kati ya slim na medium size.. amejazia nyama si mwembamba si mnene.... with ziro kitambi.

K' Matata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom