Fantasy imemponza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fantasy imemponza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by 22nd, Feb 12, 2011.

 1. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Onyo: kama haujui maana ya fantasy naomba usichangie mawazo yako!!!!!!!

  Nina cousin wangu ambaye yupo kwenye mahusiano kama mwaka mmoja mmoja hivi. they are expecting to get married soon!!!!!!!!

  kama mnavyojua mapenzi ambayo sio ya ki Dictator lazima kuwe na vijiutani vya hapa na pale ili kufanya siku ziende na mapenzi kunoga.
  katika maongezi yao na utani, ikabidi waambiane fantasy zao, yeye(cousin) alipomuuliza jamaa fantasy yake akamwambia ni 3some, na huyu dogo(cousin)akasema fantasy yake ni(ku kiss a girl(go to bed with girl). aftar that wakacheka na kutaniana, basi siku zikaenda.

  ila sasa kama muda wa miezi miwili mitatu jamaa amekuwa haeleweki, hamuamini tena sister wangu na marafiki wa kike( he will be more than happy akisikia yupo na rafiki wa kiume kuliko wa kike). wakigombana kidogo anamuuliza "are u dumping me for her?". He think she is a lesbo which(will never happen(only fantasy) according to herself).amejaribu kumkataza anavyomfikiria lakini haachi na inamuudhi kweli.
  yote tisa kumi last week ametoka kumwambia eti amuite her lover girlfriend na yeye(huyo mwanaume) ili kila mtu atimize fantasy yake. yeye ya 3some na my cousin ya kulala na demu. huyu sister akiwa serious jamaa anajidai eti anatania ila after fews days amekumbushia tena.
  she is about to dump huyu binadamu and cancell all marriage arrangements. she is so fricking tired na amesema ameshaanza ku lose interest na mchumba ake.
  ushaurii jamani-- hapa nilipo tumetoka madukani kuangalia nguo za harusi. ndio ananipa hii habari, nimeshindwa hata kumjibu:thinking::thinking::thinking:
   
 2. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nafikiri wapeane muda kidogo kufahamiana zaidi....nahisi ni watu wawili waliofika hatua kubwa lakini hawafahamiani vizuri....trust me that mwanaume could be serious au anafanya hilo,sema ana kaheshima kadogo tu kwake kwa hiyo anajidai kama anatania.....he is just a boy!

  Walizungumze wazi wawekane sawa kabla ya ndoa,kusema ukweli si heshima kumwambia mchumba wako atazame mume wake mtarajiwa akifanya 3SOME hata kama ni utani wa mara kwa mara,hizi fantasy huwa reality,most of us do what we fantasize about when we get the chance!!

  She should seek the truth and the truth will set her free now and forever!!! Mungu awasaidie kuamua lililo sahihi.mpe pole!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwa mtu ambae hana hisia na mwanamke mwenzake sidhani kama anaweza kufantasize kuhusu kua na mwanamke mwenzie!Labda mwenzie anaogopa mdada asije akawa na hisia kwa mdada/wadada wengine!Kama wanapendana kweli waeleweshane tu!Waliyaanzisha wayamalize!And yeah..kama mwanaume yupo siriaz na 3some they need to have a really good talk!3some na mke mtarajiwa sidhani kama ni ujanja!
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Haya mambo ya kuiga yanatupeleka pabaya
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  fantasi ndio nini?
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhhh,

  Sina hakika kama nimeelewa vizuri ila kwa mwendo wa hawa vijana wa dot com hata sijui wanaenda wapi? Hayo ni mambo gani ya kusimuliana?

  Kama wanaweza kuhairisha ndoa hata kwa mwezi moja au miwili itawasaidia kugundua kama kweli wanaweza kuishi pamoja kama mume na mke. Bahati kubwa waliyonayo ni kwamba Mungu amewasaidia kuona uchochoro utakaowasumbua mapema. Nadhani hii ndoa tayari imeshavunjika kabla ya kupigwa baraka na Paroko au kupashiwa ubani na shekh! Ikiwezekana wakapumzike kwanza kila mtu apate honey moon peke yake!
   
 7. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  yale yalee!kwani hujaliona onyo kwenye hili bandiko?
   
 8. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  fantasy ni daydream, desire,ni kitu ambacho unatamani kama ungekifanya kama ungekuwa na huo uwezo wa kukifanya ila hauwezi kukifanya kutokana na vikwazo fulani fulani.
  ni kama ni taswira(vision) fulani unayoitamani, kama ndoto vile.
  let say hapo ulipo unatamani kuwa rais wa U.S.A, kila siku unafikiria utakavyokuwa pale whitehouse, ila kwa namna moja au nyengine hauna hiyo nafasi, ila ofcourse ikitokea why not.
  haya wengine mnisaide kumtafsiria huyu jamaa maana ya fantasy.
  na kila mtu ana fantasy yake hapa duniani(yangu siisemi kwa kweli)
  kama wana JF wanavyotamani Bongo ingekuwa kama Egypt vile.
   
 9. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ni bora ameuliza ili aeleweshwe na yeye achangie, kuliko wale wanaokurupuka bila ya kuelewa maana.
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mimi nimekutana na hayo hapo kutoka, fantasy: Definition, Synonyms from Answers.com


  PHP:
  n., pl., -sies.
  The creative imaginationunrestrained fancySee synonyms at imagination.
  Somethingsuch as an inventionthat is a creation of the fancy.
  A capricious or fantastic ideaa conceit.
  Fiction characterized by highly fanciful or supernatural elements.
  An example of such fiction.
  An imagined event or sequence of mental imagessuch as a daydreamusually fulfilling a wish or psychological need.
  An unrealistic or improbable supposition.
  MusicSee fantasia (sense 1).
  A coin issued especially by a questionable authority and not intended for use as currency.
  ObsoleteA hallucination.


  Read morehttp://www.answers.com/topic/fantasy#ixzz1DlqQbBja
  Binafsi nahofia katika hali ya kawaida kumshawishi mtu kwamba hizo ni hisia na kweli hujawahi kutimiza hizo njonzi, ukizingatia mioyo yetu siyo transparent.

  Babu DC
   
 11. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  i wish i answered ya.....
  acha nikae nalo kwa leo!
   
 12. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  cheers mzuwanda
   
 13. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  i was thinking the same.
  nataka nimwambie wa postpone then wa take break, ili kila mtu akafanye hiyo fantasy yake akiwa single, then wakiona umuhimu wa each other watarudiana
  ila kama unavyojua tupo mbali na ticket za ndege zimeshakatwa. na kila mtu ameshaalikwa, wedding ni july
   
 14. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hizo gharama wanazoona na kuziogopa sasa zinaweza kuwaingiza kwenye matatizo na gharama zaidi huko mbeleni! Kama wanaweza basi wasiruhusu hii kitu iende mbele baada ya kuona hizi indicators.Wakae na kupena nafasi ili wapumue kidogo. Kama wanaweza kuona tofauti kubwa namna hiyo leo (wakiwa katika shauku ya kufunga ndoa), basi huko mbeleni itakuwa siyo tena tofauti bali ni vita. Vinginevyo waamue kujilipua tu!
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  .....na 3SOME!! Mmeniacha....
   
 16. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Huu uki-sasa ni shida kweli kweli, yaani uchumba badala kupanga maendeleo yenu siku zijazo wao ajenda ni sijui Fantasi, hata kama ni kuhitaji utani kidogo si dhani hiyo ni sawa. Katika mahusiano yoyote yawe ya ndoa au hapana mzungumzo ya hovyo yaepukwe mnaweza jitilia sumu wenyewe mahusiano yenu.
   
 17. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :coffee: hapa nadhani kuiga udhungu pia una...
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kila mwenza anapenda ajione kwamba yeye ndio The First, The Last and The Only, kwahiyo kwenye maongezi ni vema kuepuka kupanda mbegu za wivu kwenye mawazo ya mwenzako, Ingawa wengine wanaweza wakavumilia lakini baada ya muda mtu anaweza akajumlisha mambo tofauti akapata picha ambayo sio...
   
 19. LD

  LD JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  We umeambiwa kama hujui usichangie!!!
   
 20. LD

  LD JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nashukuru mmetuelewesha ila sasa na hiyo 3some ndo nini?? Manake natamani kuchangia.
   
Loading...