Achana na Mambo mengine yoote we toa mchango wako tu

Achana na Mambo mengine yoote we toa mchango wako tu

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,784
Kaniwish siku yangu ya kuzaliwa baada ya kuachana nae kipindi kirefu sana je bado niko mawazoni mwake?je aliweka kitu cha kumkumbusha?sijamuelewa kabisa maana wanasema anaekukumbuka kakufikiria..
 
Amekumbuka mna share birthday na muungano,kuna tarehe zikifika utakumbushwa tu hata kama hutamani kukumbuka!
Usijipe false hopes bure!!
 
Kaniwish siku yangu ya kuzaliwa baada ya kuachana nae kipindi kirefu sana je bado niko mawazoni mwake?je aliweka kitu cha kumkumbusha?sijamuelewa kabisa maana wanasema anaekukumbuka kakufikiria..

Kampe huyo anakupenda sanaaa! Umpe yote lakini!
 
Nilishaumbuka hzo habar ctaki tena ukiachana na mtu futa kumbukumbu zake zote hata sura ikiwezekana
 
Inaelekea wote wawili mnakumbukana kwa namna moja au nyingine
 
sasa kukuwish tu ndio upo mawazon?
si tarehe yako ya kuzaliwa anaijua kwa nini
asikuwish,alitakiwa na zawadi akugee kabisa!!
 
Nope hakuwazi Wala Nini..kapata notification on Facebook...kaona akuwishi...
 
Back
Top Bottom