Majirani , watu wanaofahamiana nao

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Hivi inakuwaje majirani na watu wanaokufahamu
Kufurahia changamoto (shida yako)?
Iko hivi kuna jamaa hapa jirani alikuja na gari ya polisi Jana akitokea kituoni na maandamano ya polisi kuja kumpekua
Anako ishi na kurudi nae kifupi ni issue ya kampuni anayo Fanya kazi ya security . kuna wizi umetokea mahali so ni upelelezi kwa wafanyakazi wote.


Cha kusikitisha majirani waliona hayo tena wanaume kabisa wakaitana wakakusanyika ng'ambo ya pili ya barabara body language zao zilionekana kufurahia! Jamaa aliyemwita mwenzake ni mtu wa Tanga (msambaa)
Kisa tuu jamaa anakunywaga vinywaji kwenye kiosk jirani hapo (amabaye amekamatwa)


Watu kama hawa mnaishije nao kwenye Jamii wafitini, wadaku, wasengenyaji na wambea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom