Tujifunze kabla hujawa kwenye ndoa usimuweke mpenzi wako openly ipo siku utajuta

Passed

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
563
250
Wanawake tusiwaamini sana hawa wanaume na iwe fundisho ata kwako wewe unayesoma hii story! Nilikuwa na mahusiano na rafiki wa mpenzi wangu ambaye niliamua tu kumuacha bila sababu lakini enzi izo umri wetu ulikuwa mdogo sana age ilikuw kweny 16 hadi 17 tulipendana sana wakajua ndugu zake wakajua ndugu zangu.

Rafiki ake alipata uchungu sana kuona nipo na rafiki ake siku ziliendelea ila huyu mpenzi wangu nikikosea akikasirika anakupiga kibao tena sehemu za uso na uwa anakutembezea kimoja tu anatulia hasira zake zinakuwa zimeisha tuliaminiana sana lakini mara nyingi baada ya mda flan nagundua ana mwanamke pembeni nikija kugundua anaachananae kabida haendelei nae mimi na yeye tulikuw tunaishi mbali mbali.

Ilifika mda huko alikokuw anakaa alikuwa na mwanamk mwingin kwasababu wote walikuw wanakaa mkoa mmoja basi uyo mwanamke alikuwa anaenda alivyojisikia lakini akirudi kwangu mzigo anapata kama kawaida na ni kila siku baada ya kugundua ana mwanamke mwingine alinishuhudia ameshaachananae na amemtambulisha kuwa ana mwanamke ambaye ni mimi na ashawahi niambia kuwa uyo mwanamke ana mtoto lakini mda mwingine anasema ananidanganya tu hana mtoto na hapa mwezi huu tumeachana lakini kuna mwanamke ananisumbua ananitumia sms za ovyo na mda mwingine anatumia sim ya uyo x wangu.

Kunichafua na uyo x wangu kaniambia nifute picha zake zote kila mahari na kuna kipindi nilishika sim yake kutafuta no za wanawake ambao anawapigia sana alivyogundua akaniambia niache iyo tabia nisije nikamwalibia coz yeye mi ajanioa nilivyomwambia mbon ujatulia akaniambia nitatulia nitakapooa.mimi alikuwa hanipi cm yake niishike lakini uyu aliyenae saizi kampa had password.lakin mimi ndo niliyetambulika kwa ndugu zake.tujifunze kabla ujawa kwenye ndoa usimweke mpenzi wako openly ipo siku utajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,170
2,000
Screenshot_20200424-224550.jpg
 
Rammy91

Member
Aug 12, 2012
68
150
How old are you?

sjosh4

JF-Expert Member
Apr 10, 2020
899
1,000

Dah japo nimetoka kapa, ila tu kwa heading yako, ushauri wangu,
Don't make things public, until it's permanent
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom