Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana MMU Mimi si mpenzi wa hili jukwaa ila ndani ya masaa 24 huwa siachi kutupia jicho huku. Swali langu ndo hilo kama linavyosomeka kwenye heading,wanawake wana ushawishi zaidi kwenye...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja na Mwajiriwa wa Serikali. Natafuta mume mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext PM kwa maelewano na maelezo zaidi. Umri 40 na...
11 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari zenu wadau. Unajua katika mapenzi na sualazima la upendo, kuna tofauti kubwa sana jinsi mtu anavyo mpenda mtu mmoja ukilinganisha na anavyo mpenda mwingine. Unaweza ukamwambia mama yako...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Yaani hata kama mtu hutatoa shukrani ila umjulishe tu alietuma kua hela imefika, lakini unakuta unamtumia mtu ikishafika ndio anapotea moja kwa moja hatoi shukrani wala hasemi kama hela imefika...
23 Reactions
132 Replies
11K Views
Wanawake wengi hasa wa kiafrica kama ilivyo kawaida yao kupiga mizinga tena ya mwendo kasi ndani ya mwaka mmoja 2019 nimefanikiwa kusave milioni 3.5! Wa kwanza baada ya kujipigia mara mbili...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna muda huwa unatamani hata ukipige tu Kibao au Mbata kilale kabisa ili uweze Kumshughulikia vizuri ( ipasavyo ) Mama yake ila sema huwa tunaogopa kuzidi Kuandikisha Dhambi zetu katika Kitabu...
10 Reactions
87 Replies
11K Views
Mwezi January maisha yalikuwa tofauti na yalivyo sasa. Covid-19 tuliisikia tu kama hadithi kutoka Wahuan. Nilialikwa kwenye tafrija moja. Nilikutana na mwanaume wa Kitanzania, ni Mhandisi...
15 Reactions
33 Replies
3K Views
"Bro, duniani kuna watu wana roho mbaya sana.Usiku huu nmeshtuka usingizini nawasikia wakwe wanazungumza chumbani kwao kuwa mimi nitakaa kwao na mke wangu mpaka lini. Hilo limeniuma sana maana...
32 Reactions
107 Replies
14K Views
Muda umefika sasa wa kutafuta jiko - yaani kuoa. Nina miaka 39 sasa natafuta binti mtanashati, mrembo, mpole na mshika dini - awe ana miaka 22 hadi 24 asiwe na mtoto, msomi walau kidato cha nne...
2 Reactions
84 Replies
11K Views
Moja kati ya kitu ambacho wanaume wengi wamekuwa wakikizungumzia sana mtandaoni na kuonyesha wanakichukia ni hii kauli ya nitumie na ya kutolea Inaonekana kuwa ni kauli inayotolewa na mtu...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni rafiki yangu sana na alikuja kunieleza tatizo lake nikaona sio mbaya nikashare kidg huku angalau naweza kumpa majibu yaliyojitosheleza.. Ana mwanaume wake wapo kwenye mahusiano mwezi mmoja...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Asalam alaykum, Nimekuja na mada ya watu wenye moyo mpweke nikimaanisha watu ambao waliiingia katika mahusiano kisha kupitia hayo mahusiano yakawatenda sanaaaaa kiasi cha kutoka na kuamu kuishi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Umewah kupga picha za uchi halafu ukamtumia mtu? Mimi najipiga sna picha za hv lakin sijawah kutuma kwa mtu hta sku moja na sidhan km itakuja kutokea kumtumia mtu picha za uchi. Nishawah...
4 Reactions
103 Replies
17K Views
Jirani yangu ametaka kuuwa mtu mda mfupi uliopita Kisa, mkewe anamuachia hela ya kula then mchana anampikia mwanaume mwingine chakula anampelekea hadi chai ya asubuhi anampelekea. Jamaa...
15 Reactions
45 Replies
5K Views
Dah, Hivi inaingia akilini kweli? Eti kisa sijamuandikia happy birthday ndio ameniacha. Wadada hivi hii ina umihimu sana kwenu ama ndio alikua anatafuta gia ya kuondokea tu? Heart broken...
5 Reactions
67 Replies
8K Views
Habari za weekend wadau ingawa mmejifungia ndani huku mnapumua kwa taabu kwa kubanwa na barakoa. Nije kwenye maada husika kuna rafiki yangu kazaa na binti mmoja na mtoto ana miaka mitano sasa ila...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Natumai hamjambo wakuu Tukiwa tunaendelea na mapambano dhidi ya corona nimependa kushare kisa kilichofaninya niwaone wazazi maboya ajili ya mapendo Kuna mrembo tuliwahi pendana sana huko nyuma...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu, Naomba kuwauliza wadada hili swali mnipe uzoefu wenu. Baada ya kuachana na mpenzi wangu wiki iliyopita, nikaamua kumtafuta ex wangu ambae tulipendana sana kipindi tupo chuo...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Juzi kati nikiwa na peruzi mitandaoni nilijikuta nakutana na picha nyingi za wadau na mama zao huku wakiwa wamefunguka mengi yote kuonyesha shukrani na upendo kiukweli ni jambo zuri sana Binafsi...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom