Ushauri unahitajika kwa rafiki yangu huyu

Ushauri unahitajika kwa rafiki yangu huyu

Tonyblair

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
424
Reaction score
413
Ni rafiki yangu sana na alikuja kunieleza tatizo lake nikaona sio mbaya nikashare kidg huku angalau naweza kumpa majibu yaliyojitosheleza..

Ana mwanaume wake wapo kwenye mahusiano mwezi mmoja sasa huyo mwanaume anasema anampenda sana rafimi yangu na ana malengo nae mazuri kwa maelezo ya huyu best yangu..

Lakin kuna jambo limejitokeza hivi karibun huyu jamaa amemwambia anaomba ampe nafasi ana mambo yake ya maisha anayoyafikria ajue anahitji nini katika maisha yake na hiyo nafasi ni ndani ya mwezi mmoja...lakin shoga yangu akamwambia huyo jamaa kwa nini nisikuache nifanye mambo yangu pale utakapokuwa sawa utanitafuta...

But jamaa akamuomba naomba usiniache nipo kwenye wakati mgumu na kila kitu nitakuja kukueleza...Waungwana Jf unamshauji vipi huyu rafiki yangu maan mie nimeshindwa hata la kumjibu.Nasubiri maoni yenu
 
Nasubiri majibu waungwana nipate cha kumshauri best yangu maan haelewi yupo njia panda
 
Kwan huo mwezi mmoja, wake bila mawasiliano???

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawasiliana ila best yangu hana furaha...na best yangu anasema anataka akae kimya asubiri huo mwezi...Ila kuna siku waliongea jamaa akamwambia mbona sauti yako sijaizoea kama hauna raha vile na sijawahi kuongea na wewe katika suait ya hivi mbona unaniumiza ukiongea hivyo....best yangu akamjibu yupo sawa tu..
 
Inavyoonekana jamaa aliingia kwenye hayo mahusiano kwa mazoea tu, Hakujitayarisha ipasavyo.

Sasa zile hisia za kimazoea mazoea zimekata, now anatafuta smooth way ya ku-move on.
 
Duh. Tutoe ushauri kwa matatizo yaliyo moyoni kwa mtu mwingine!.
 
Ushauri ni kwamba asubirie kama mpaka huo muda aliopewa mwezi ukiishia hamna feedback ajaribu kumcontact kujua nini kinaendelea hapo atapata jibu kama kaachwa ama kuna nini.

When will people learn to believe in patience that everything including truth takes time?
 
Mwambie amove on tu hapo na akirudi atoe sababu za mashiko na mwambie kama anawafaham rafiki zake amchunguze kwa undani sana. Huyo ni aina ya wanaume wabinafsi kwa maana hakuna anaekupenda akashindwa kukushirikisha katika shida. What if akaleta vijisababu bla bla bla. Sijui wanawake hamtujuagi wanaume kwa undani kila tukiwaumiza hamkomi. Naongea kama mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo jema sana Boss ,, Ushauri kwa mtoa mada "Mvumilivu hula mbivu".

Mwezi kitu gan bana??..


Au wee unasemaje ?!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kuna vitu kaficha mtoa mada,, ukihoji sana anaweza akakwambia "mengine hayatakusaidia",

Kuna mtu nlitaka kumshauri ila kabla sijamshauri nikaanza kumchimba ili kujua zaidi,,

Jibu alilonipa nikabaki mdomo wazi,, wengine wapo na stress ivo kumchimbua ni kumwongea mzgo

We umeshauri inatosha[emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mda nilijua ni mwanaume, ila hapa kwenye shoga yako kumenipa utata
 
Aahhh huyo 'best wangu' naye chenga sasa,, mwezi mawasiliano yapo kisha mambo yatakua sawa, nn shida??


Sisi wanaume kuna wakat tuna pitia mambo mazito kiasi kwamba ukimshirikisha Mwanamke anaweza kukufelisha au kukata tamaa



Demu aendelee kutulia tu !.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mchizi inaonyesha anampenda sana huyu best yangu lakin kuna kitu kinamsumbua
 
Back
Top Bottom