😂 😂 😂 😂 😂Duuuuh Ila we Jamaa kiboko au unaweza ukawa na tatizo , yaani miaka 6 ya mahusiano bila ndoa kisha miaka 5 huna ndoa huna mtoto , jumla hapo miaka 11 yote unapuyanga na mahusiano tuu, aisee Una tatizo , kuna haja ya kujitafakari mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
iyo miaka sio mingi kati iyo miaka kuna masomo,kuna kuanza kazi ukijiona umetulia ndio unafikilia kuoaDuuuuh Ila we Jamaa kiboko au unaweza ukawa na tatizo , yaani miaka 6 ya mahusiano bila ndoa kisha miaka 5 huna ndoa huna mtoto , jumla hapo miaka 11 yote unapuyanga na mahusiano tuu, aisee Una tatizo , kuna haja ya kujitafakari mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sala ya nini hapo??? Aache ubwege!Anza na sala kwanza kabla ya kufanya maamuzi au kusikiliza ushauri wa watu wengine,maana once you make a wrong choice itakutafuna maisha yako yote...
Asingetelekezwa na mtoto akaachiwa? Angemtafuta?Mimi si muumini wa single mother lakini kwa huyo wako nakushauri umuoe huyo x-girl. Huyo anakupenda sanaa usimtose kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app