Umewahi kupiga picha za utupu (nude pics)?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Umewah kupga picha za uchi halafu ukamtumia mtu? Mimi najipiga sna picha za hv lakin sijawah kutuma kwa mtu hta sku moja na sidhan km itakuja kutokea kumtumia mtu picha za uchi.

Nishawah kukutana na wanaume wanaomba picha km hzo sijui wanazitumia kwa nn 🤔 au wanaume wengine ktk relatioship wanataka kupiga pcha za uchi pamoja.

Mimi sijawah kuwa na wanaume wa ajabu km hao. Hivi mtu unaanza je kutuma picha za uchi au unaanza je kupga pcha hizo na mwanaume yoyote tu km sio ujinga tuite nn? Wewe umewah kutuma pcha za uchi kwa mtu yoyote?
 
Uzi huu wengi watauponda ,wake kwa waume.


Ila ukweli nikua Simu zao , kuna mafaili wameyaficha, sababu yana picha cha Utupu, walotuma au kutumiwa toka/kwenda kwa Wapenzi wao.






Sasa.mtoa mada yeye kaishia kupiga.... Ila wengi, mnapiga na kutumiana.


Huku wanaume wakiongoza ktk hitaji la "Nitumie nione"



Hapa mnajivunga hahahhaahhahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom