Nimekosa usingizi kabisa kwa haya nayosikia toka kwa wakwe zangu muda huu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,274
23,051
"Bro, duniani kuna watu wana roho mbaya sana.Usiku huu nmeshtuka usingizini nawasikia wakwe wanazungumza chumbani kwao kuwa mimi nitakaa kwao na mke wangu mpaka lini.

Hilo limeniuma sana maana hawa ni kama wazazi kwanini wanakuwa na roho mbaya hivyo. Nimemuoa binti yao mwaka 2015 wakatupa room hapa kwao wakati huo sisi tunatafuta nyumba ya kupanga.

Baadaye tukashauriana na wife kama kuna chumba cha bure ya nini tupoteze pesa kwenda kupanga.Basi tukaendelea na utaratibu wa kuzaa na tunashukuru Mungu sasa tuna watoto watatu.

Tunaishi hapa na kula hapa.Mshahara wa mke wangu huwa ananipa unisaidie saidie nami niweze fanya mambo yangu maana nilikuwa nafanya kazi na washenzi fulani wakawa wanataka wanitumie mpaka weekend nikaona udwanzi nikaachana nao.

Nikafanya kazi kwa wahindi hawa mshahara wakawa sometime wanalipa tarehe 1 au 2. Nikaona siyo waaminifu nikaachana nao.Toka mwaka jana mwezi wa saba nakuwa tu home kucheza na watoto.

Sasa nimeshtuka wakwe wanajadiliana eti nitakaa kwao hadi lini? Mzee ndo anaonekana ana-mind mama mkwe anasema nipewe muda kidogo. Nimesikitika hawa wakwe hawana utu kabisa.

Mtu nimewaletea na wajukuu hapa hapa kwao bado hawana shukrani? Hizi ni roho mbaya za kishetani kabisa.Wanataka eti tukapange anafikiri pesa inapatikana kirahisi tu?

Mke amelala fofofo hata hajayasikia haya nawaza nimwamshe ashuhudie mipangao ya baba yake kutaka kututimua hapa home au nimwache tu? Inaumiza sana halafu wao hawajui kuwa nawasikia sababu sasa hivi ni usiku na dirisha sijafunga.

Usingizi wote umepeperuka kwa hili jambo mpaka nawaza labda nirudi tu nikaishi na mama yangu home kwake maana haya mambo ya namna hii sikutegemea kabisa.

Bro usiombe kuoa kwa wakwe kama hawa watakunyanyasa bila sababu."

Hayo malalamiko ni kutoka kwa bwana mdogo mmoja nlimtangulia shule kwa sasa nadhani ana miaka kati ya 40-43
 
Namimi nakuuliza ''Utakaa kwa wakwe zako mpaka lini???

Nimegundua wewe unadeka Mkuu au ni mwoga wa maisha.

Mimi ASILANI siwezi kuzalia watoto watatu kwenye chumba nilichopewa na Wakwe zangu.

Pia siwezi kumtegemea wife alishe familia kila siku eti nicheze na watoto. Ndio mwanzo wa kugongewa.

Si uwaache watoto wacheze na Bibi yao nenda kabebe hata zege au kapige debe Chief.

Huyo Baba yupo sahihi na amekuvumilia sana

Kuthibitisha kuwa unadeka eti unasema ''Si ni bora uende home kwenu kuliko kusimangwa''

Hahaha...home tena???

Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Bro, duniani kuna watu wana roho mbaya sana.usiku huu nmeshtuka usingizini nawasikia wakwe wanazungumza chumbani kwao kuwa mimi ntakaa kwao na mke wangu mpaka lini.

Hilo limeniuma sana maana hawa ni kama wazazi kwa nini wanakuwa na roho mbaya hivyo.nimemua binti yao mwaka 2015 wakatupa room hapa kwao wakati huo sisi tunatafuta nyumba ya kupanga.

Baadaye tukashauriana na wife kama kuna chumba cha bure ya nini tupoteze pesa kwenda kupanga.basi tukaendelea na utaratibu wa kuzaa na tunashukuru mungu sasa tuna watoto watatu.

Tuna ishi hapa na kula hapa.mshahara wa mke wangu huwa ananipa unisaidie saidie nami niweze fanya mambo yangu maana nlikuwa nafanya kazi na washenzi flani wakawa wanataka wanitumie mpaka weekend nikaona udwanzi.nikaachana nao.

Nikafanya kazi kwa wahindi hawa mshahara wakawa sometime wanalipa tarehe 1 au 2. Nikaona siyo waaminifu nikaachana nao.toka mwaka jana mwezi wa saba nakuwa tu home kucheza na watoto.

Sasa nmeshtuka wakwe wanajadiliana eti nitakaa kwao hadi lini?mzee ndo anaonekana ana mind mama mkwe anasema nipewe muda kidogo.nmesikitika hawa wakwe hawana utu kabisa.

Mtu nimewaletea na wajukuu hapa hapa kwao bado hawana shukrani?hizi ni roho mbaya za kishetani kabisa.wanataka eti tukapange.wanafikiri pesa inapatikana kirahisi tu?

Mke amelala fofofo hata hajayasikia haya nawaza nimwamshe ashuhudie mipangao ya baba yake kutaka kututimua hapa home au nimwache tu?inaumiza sana halafu wao hawajui kuwa nawasikia sababu sasa hivi ni usiku na dirisha sijafunga.

Usingizi wote umepeperuka kwa hili jambo.mpaka nawaza labda nirudi tu nikaishi na mama yangu home kwake.maana haya mambo ya namna hii sikutegemea kabisa.

Bro usiombe kuoa kwa wakwe kama hawa.watakunyanyasa bila sababu."

Hayo malalamiko ni kutoka kwa bwana mdogo mmoja nlimtangulia shule kwa sasa nadhani ana miaka kati ya 40-43
Useless man

Mvivu na hutaki kufanya kaZi
Unapenda vya bure hata ukweni
Hukuleta wajukuu wewe, ni baraka za Mungu Tu

Yaonekana pia ni kama goigoi
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom