Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Za Leo Najua nimepotea sana ila nipo Swali langu kubwa Kwako kabla sijaendelea na hadithi ni Kwanini Upo single?! Ndio wewe hapo, naongea name wewe Kwanini Upo single?! Dada/Kaka Mzuri...
2 Reactions
279 Replies
28K Views
Wapendwa akina Dada tunaomba hii kauli 2019 msitumie jamaa Kaka enu amekutana na hiki kituko
2 Reactions
95 Replies
8K Views
Naombeni ushauri wakuu Shemeji yenu kila nikiwa nae kwenye mtanange namchavanga akifika kileleni lazima aning'ate, sasa sijui kwamba ndio anakuwa na hisia kali zaidi au inakuaje. Nakumbuka juzi...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Have respect for each other and handle every difference with maturity. Tell your partner when you are offended and accept apologies as soon as they are tendered and move along. The sooner you...
1 Reactions
3 Replies
661 Views
Hivi kama unaishi na mpenzi wako wa kike afu akaota eti anasex na jamaa mwingine na katika ndoto ukawafumania ina maana gani? Msichana wangu ameota hivo na kanisimulia kila kitu ilivokuwa japo...
0 Reactions
33 Replies
32K Views
Habari wana MMU, Bila kupoteza muda nimeona njia sahihi ya kumkomoa mke mchepukaji ni kumgeuza msukule ili urudishe hasara ya kugongewa,Pia itakusaidia kuongeza kipato chako mwisho was siku...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Au labda Mwenyezi Mungu alivyowaumba Wanawake hakuwawekea ile roho dhaifu ya kutaka Kujitoa Uhai ( Kujiua ) kama ambayo inaonekana kwa Wanaume hiyo Roho si tu kwamba aliiweka bali aliigundisha...
13 Reactions
134 Replies
15K Views
Je, wapendwa mnajua kuwa wanaume zenu au wapendwa zenu wanapenda nyie kwa moyo? Au mpompo tu mwa shangaa? Je, unaaminije kuwa huyu niliyenaye alinioa kwa mapenzi au kwa maana na kitu fulani au...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu Habari. Naomba kuuliza hii kitu kwa wenye tajiriba juu ya hili tatzo la baba au mama kutoka nje ya ndoa kwa kutembea na wafanyakazi wao wa ndani aidha Shamba Boy na House Girl. Ni Couple...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
My Dear , We have passed many hardtimes together and It was VERY Hard . This is my THANKS TO YOU FOR EVERYTHING. I LOVE U AND I HOPE WE WILL CONTINUE TO LOVING EACH OTHER FOVER I LOVE U.💏💑👫 . I...
7 Reactions
126 Replies
9K Views
Wadau nipeni ushauri Nina mpenzi wangu ananisisitiza kuwa anataka mtoto na mimi ila ni single mother. Mimi life langu gumu mbaya, nahisi nitaelemewa na majukumu
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii imetokea kwa jirani zetu hapo Kenya tarehe 09/05/2020 jioni. Mwanamke ambae anaitwa Vigilance Shighi(29) ambae ni kabila la Mtaita amemchoma kisu mara saba kifuani na kupelekea kufariki...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nakumbuka juzi, nilikua nimeenda bank kutoa pesa baada ya kugundua dukani kwangu store imepungua vitu muhimu, kwahiyo nikaenda kutoa salio kidogo ili niweze kwenda kuongeza bidhaa. Nikaenda bank...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Manzi fulani nilipata kuwa Alikuwa wa kawaida, sio pisi kivile au OVYO kilive, mshikaji nikajiona ni wakatu wa kutafuta pahala pa kuweka mbegu zangu, nikawa naye kwa kitambo kwenye hiyo...
15 Reactions
98 Replies
10K Views
Hakuna mwanamke atakaejiona amekamilika kama hatongozwi katika pitapita yake, katika uchunguzi wangu nimegundua kwa msichana mzuri inawezekana akawa anatongozwa kila apitako na pengine kila siku...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nadhani wengi wetu jambo hili lishawahi tufika/tumewahi lishuhudia kwa watu wetu wa karibu. Je, ushawahi jiuliza ni ipi sababu ya mahusiano haya kutodumu? Karibu hapa tujadili
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii imekaaje wakuu Kwanza kabisa natambua sisi binadamu tunatofautiana katika mambo mengi kimaisha na kimitazamo pia, lakini mbali na tofauti zilizopo katika jamii wanaume huwa tunacharacters...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kazi ya mwanaume ni kulea familia na kuhakikisha familia inapata mahitaji yote za lazima. Haya mambo ya kusema nataka nioe mwanamke mwenye kazi ili anirahisishie ugumu wa maisha ni sawa na kuukana...
13 Reactions
61 Replies
8K Views
Wakuu Wimbi la ongezeko la wanawake wenye vitambi linaongezeka kwa kasi sana zaidi hata ya speed ya treni ya standard gauge Wanawake wenye vitambi kiukweli hawana mvuto kwangu na kwa wanaume...
7 Reactions
177 Replies
18K Views
Wengi wenu mnawachukia sana wazazi wenu wa kiume, kwa sababu mmejazwa sumu na mama zenu ila mama zenu nao wana madhambi yao tena makubwa waliyowafanyia baba zenu. Mama yako ana mimba halafu...
10 Reactions
51 Replies
4K Views
Back
Top Bottom