Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wote wakubwa na wadogo, Mimi n kijana wa miaka 22 na miezi kadhaa niko hapa kuomba ushauri kwahili ninalolifanya( tamaa). Nimemaliza college flani hapa TZ mwaka jana lakini sijabahatika...
3 Reactions
101 Replies
9K Views
Usidanganyike na kauli za wehu eti "Nakula UJANA,,,," kula UJANA uone tabu kumeza UZEE. Ukiutumia vibaya ujana wako kaa ukijua kuwa kilio kitakuandama uzeeni. Tena huenda hata uzeeni usifike.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Mwanaume ni mtu mmoja mzuri sana endapo utaishi nae vyema, pia ni mtu hatari sana kama utacheza na akili yake. Ukiwa kama mwanamke ni wajibu wako kumuheshimu, kumjali na kumbembeleza kwa kila hali...
16 Reactions
40 Replies
4K Views
Nimetumiwa email na mdada mmoja akitaka nione kwa jinsi gani sisi wanaume tunawaumiza wake zetu. Yeye ameipata kutoka katika blogu moja ya kitanzania. Wadau tumshauri huyu dada katika hili...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
*UMBUMBUMBU WETU WANAUME NDIO TUNAVYOTUMIKA KULEA WADADA WA MJINI WANAVYOISHI BILA KAZI.* Wanaume wa Dar inasemekana wanatekwa kimapenzi na hata kufa kimapenzi kwa usanii wa wanawake waitwao...
28 Reactions
59 Replies
10K Views
Nawasalimu kwa heshima wanajamvi wenzangu! Leo mineona tuangalie namna ya kumpata mwenza ili Kila mmoja apate faida Awali ifahamike hakuna formula kwenye kutongoza Kila mtu hupata mwanamke kwa...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimekusubiri sana mpenzi, mke na mama wa watoto wangu. Uko wapi mbona umechelewa sasa mamangu? Ujitokeze tuitengeneze familia. Mwanamke uliye na ndoto ya kuwa na mume na kuwa na familia yenye...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukitaka mapenzi uyashinde mbomoe mpenzi wako kisaikolojia asijione wa maana. Siku moja moja simu usipokee kwa muda, status usi-view, foka, hapo utamteka. Mnaonewa kwa sababu mnaonesha kupenda...
9 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu Salaam. Wanaupendo adi kwenye matatizo si wavumilivu wanajikuta wamekuwa wadhaifu ghafla. Kufiwa kunauma sana yataka uvumilivu. Kutokana upendo wao Wanawake hawabembelezeki kwenye msiba...
1 Reactions
12 Replies
995 Views
Kindly share your experience. Inadaiwa kupitia kilevi, mwanaume anaweza kuwa na furaha na kujiamini zaidi mchezoni. Hii ni zaidi kwa wale wenye tatizo la kuwahi kutua mizigo. Ni kweli?
10 Reactions
224 Replies
48K Views
Habarini poleni na kukabiliana na ongezeko la bei ya sukari. Mapenzi we acha tu! Nimewahi enzi hizo katika kipindi fulani kukaa na mpenzi wangu nyumbani bila wazazi wao kujua na wangu kujua...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Wajameni naomba mnisaidie mawazo, kunipa moyo n.k. Mimi nimeachwa na boyfriend wangu nilikuwa nampenda kweli. Ameniacha amerudi kwa mwanamke aliyezaa naye. Hapa roho inauma nahisi inataka kutoka.
16 Reactions
78 Replies
7K Views
Again, you are making a grave mistake for allowing your wife to get employed. I want to glue this to your head brother. You work hard, I mean you as a MAN should work really hard to pay the dues...
33 Reactions
139 Replies
12K Views
Wakuu kila mmoja Ana mtazamo wake tofauti hivyo atuwezi kuwa na Mitazamo sawa binafsi kwenye suala la ndoa naona kama corona imeniinua maana aya ma Tangawizi, vitunguu swaumu, vitunguu maji na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilijisajili kama mwanaume kwenye dating site moja ili kuona yanayofanyika upande wa akina dada wenzangu na mapicha yao Basi katika kupangusa kushoto kulia nkakutana na huyo dada Kwakweli ni mzuri...
9 Reactions
200 Replies
20K Views
Natambua mke ambaye mmepata watoto kwa vyovyote vile uyo anakua ameshakua ndugu coz mmeunganisha damu za koo mbili tofauti kupitia watoto wenu. Hapo hata ndugu zake kwa mbali unawaona ndugu na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari! Haifai kusimulia mambo ya faragha (wewe na mpenzi wako) kwa watu wa nje! Athari zake ni nyingi sana. Mfano; unaweza kuharibu uhusiano wako, kimdharaulisha mwenzio kwa watu, kutamanisha...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanawake hupata wanaume wa kuwaoa kwa njia mbalimbali kama vile: 1.ulimpa tunda kimasihara baadae akawa mmeo 2.ulienda kuombewa kwa mchungaji 3.ulitafta mtandaon 4.alikuwa mwalimu wako darasan...
4 Reactions
95 Replies
15K Views
Ndoa ni msingi na chanzo cha familia ambapo familia ni kilele cha jamii. Ndoa huleta familia na familia hufanya jamii. Tokeo la familia na jamii ni ndoa. Ndoa inahusu mtu mwanaume na mtu mwanamke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom