Natambua mke ambaye mmepata watoto kwa vyovyote vile uyo anakua ameshakua ndugu coz mmeunganisha damu za koo mbili tofauti kupitia watoto wenu.
Hapo hata ndugu zake kwa mbali unawaona ndugu na unaweza jitoa kuwasaidia Kama vile unavyotimiza majukumu kwa ndugu zako.
Vipi kwa mke ambaye hamjabahatika kupata watoto naye, Je anastahili kuchukuliwa Kama ndugu? Au atakua tu Kama life pertiner Kama walivyo mademu wengine?
Je, ana haki ya kuitwa ndugu?
Je, ndugu zake una haja ya kuwathamini Kama ndugu?
Kwangu mimi kigezo cha koo mbili kuanza kuitana na kuchukuliana Kama ndugu ni hadi pale mme na mke watakapounganisha damu kupitia watoto.
Ebu nipe mtazamo wako!