Usijidanganye eti nakula ujana

Usijidanganye eti nakula ujana

hii ni kwa ME tu au hata KE?
 
Siku zote ukitenda mabaya jua ipo siku utalia na kusaga meno.
Finali uzeeni
 
Life is to live,hakuna rules bujibuji,usiwaseme watu jinsi unavyoamini wewe mkuu
 
mtu Ney wa mitego narudia tena ney wa mitego...ushategwa umetegeka haya kula ujana siumeambiwa ujana sio kimiminika ni chakula!!
 
Back
Top Bottom