Kwa waliowahi kuwekana kinyumba bila ndoa

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,708
Habarini poleni na kukabiliana na ongezeko la bei ya sukari.

Mapenzi we acha tu! Nimewahi enzi hizo katika kipindi fulani kukaa na mpenzi wangu nyumbani bila wazazi wao kujua na wangu kujua.

Tukilala tunapeana, tukiamka tunapeana, tukishinda tunapeana. Hapo hawezi kurudi kwao anahofia nitaleta mwanamke mwingine. Wivu mtamu jamani!

Nakukumbuka mcharuko wangu Jamila.

Je, wewe umewahi? Ilikuwaje?
 
Mimi binafsi kutwa Mara 6 wengine wanaenda mpaka Mara 12!
Na wale professional kabisa wanapiga nyungu Mara 20 Sasa kuna maguru hawa ni mara 30 mpaka 35!!!

😂😂😂😂hatutafanya kazi ingine zaidi ya nyungu
 
Mimi nadhan yangu ilitia Fora.

Nilikaa na Msichana ndan kwa miaka miwili, 2011 na 2012 yote, ghetto, enzi za chuo - Boom lilisaidia kupanga off Campus.
Huku wazazi na walezi wetu wote wakijua tunakaa Hostel za chuo.

. Maisha yake Dah!.

Lengo ni kijitegemea na kuanza Maisha mapema na kuwa na biashara.
Na since then sijawah rud Nyumban kukaa, ni kwenda kusalimia tu.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom