Corona imetuinua wanaume maana ndoa zinazidi kuimarika

Corona imetuinua wanaume maana ndoa zinazidi kuimarika

kamituga

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2019
Posts
1,195
Reaction score
1,937
Wakuu kila mmoja Ana mtazamo wake tofauti hivyo atuwezi kuwa na Mitazamo sawa binafsi kwenye suala la ndoa naona kama corona imeniinua maana aya ma Tangawizi, vitunguu swaumu, vitunguu maji na vinginevyo vya kujikinga na virusi tangu nimeanza hii dozi nyumbani ni mushikeli kimoja ni saa nzima mama anatosheka.
Kila kitu kina faida na hasara zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom