Beautifullgirl
Senior Member
- Feb 28, 2013
- 100
- 15
Habari wote wakubwa na wadogo,
Mimi n kijana wa miaka 22 na miezi kadhaa niko hapa kuomba ushauri kwahili ninalolifanya( tamaa). Nimemaliza college flani hapa TZ mwaka jana lakini sijabahatika kupata kazi mpaka sasa may be kutokana na udogo wa elimu yangu( nataman niendelee na chuo). Mwaka juzi nikiwa college bado nasoma nilijiunga na mtandao mmoja( naishi kwa sababu ya mitandao jamani niacheni nishinde humu tuuu) kama mnavojua mabinti baadhi yetu tunapenda mitandao.
Nilipojiunga nilibahatika kukutana na mbaba naweza sema mbaba kutokana na umri wake kua mkubwa kama hata baba yangu (48-49 anaishi nchi za uarabuni lakini n mtanzania hakuna asiejua maisha magumu kwasasa aliniambia kua ananipnda kutokana na picha zangu anazoziona hapo mtandaoni na mimi nilimkubalia na kumwambia m single( ila moyoni mwangu najua kuna m2 nadate nae ila simpendi pia kutokana na vipigo vyake )
Nikijua yupo mbali na mimi na hawezi kuja leo wala kesho,lengo lang ilikua kupata pesa za kutumia mjini haswa nikiwa chuo hostel kama mnavojua wengi we2 pesa za wazazi hazitutoshi hata kidogo kutokana mabinti wa kileo kupenda vya juu kuliko uwezo wetu, basi baada ya hapo aliniahidi kunipatia ada ya chuo na pes za matumizi nisiombe nyumbani /nisiwasumbue kabisa wazazi kua ninashida ya pesa (lakini n iliendelea kuomba pesa home ili wasistuke mchezo wangu) kwa jinsi nilivyopagawa nikajua utani mhhh sijakaa sawa napata sms ya western union pesa zimeingia nikachukue mtoto nilichanganyikiwa kuona napewa pesa kubwa na m2 ambaye hajawahi kuniona/kuonana ambayo sikuwahi kuipata kabsa na ameninunulia simu ambayo naitumia kwa sasa.
Basi ikatokea kumuamin sana na akaniambia niwaeleze wazazi kua nimepata mchumba na mm kwa kumdanganya nikasema nimewaambia kabla hata wewe hujasema mhhhh basi alifurahi sana, baada ya kuskia ivo mweee kesho si akatuma pesa nimpatie mama yangu kwa uoga wangu sikuweza kumpa mama mana mama anakazi yake ntawezaje kumpa pesa? Akiuliza nmetoa wapi ntasemaje?
Mtoto wa kike nikazibana nikaenda zang kuzitumbua pesa na mashost na kuzigawa kwa baadhi ya ndugu zang,,ukwel ananipa maisha mazur mpaka sasa,kinachoniumiza n kwamba
1. Nilimdanganya mama anaujua uhusiano wetu na yeye yupo njian kuja Tz je nitasema nn mie?akifika
2. Dini yake wazazi wang hawataki(japokua nilimdanganya ku wameikubal din yako)
3. Amenitumia pesa sasa nifanye application za chuo ili anisomeshe mwaka huu na mama yangu ameniahidi kunisomesha mwaka huu pia je nifanyaje hapa niendelee kupokea pesa ya nani kati ya hawa?
4. Ameniomba nizae nae tufunge na ndo akija nikakubali,,na alisisitiza kua yeye ni mkubwa mno kiumri kuliko mm nikasema mm nakupenda hvohvo,,(nia yangu nipate pesa
5. Ananiweka mjini mtt wa kike mpaka sasa nakula kupitia pesa yake,na hajawahi kuniona live zaidi ya picha tu,( sio kama mm n mbaya yan matunzo yake kama vile ameniona tayari
6. MIMI SINA UPENDO NAE KABISA HATA ASILIMIA MOJA.maana ni mzee jaman na mm n bint mdogo sasa ujana ale na nani na uzee aniachie mie jaman?? Siwez kumwambia sikupend mana ss nmemaliza chuo na sina pakupata pesa zaidi yake yy tu
NB.
Msinitukane jaman nimeamua kufunguka ili nipate ushaur wenu