Wanawake wanaongoza kwa upendo hali ya juu

Wanawake wanaongoza kwa upendo hali ya juu

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,573
Reaction score
3,758
Wakuu Salaam.

Wanaupendo adi kwenye matatizo si wavumilivu wanajikuta wamekuwa wadhaifu ghafla. Kufiwa kunauma sana yataka uvumilivu. Kutokana upendo wao Wanawake hawabembelezeki kwenye msiba wanapokezana kulia tu.

Uyu atamtaja mjomba, mwingine atamtaja shangazi,mwingine atamtaja marehemu walio tangulia. Wanagaa gaa chini utasema wanatubu zambi zao. Kale katabia cha alikotoka hajalia ata akiwa njiani macho makavu!!! sasa ngoja akalibie eneo la tukio,

Kilio chake hawezi hata kutembea atabebwa na watampokea kwakuongeza kilio kwa aliowakuta angalau walichoka kwakulia mda mrefu.
 
Badala akawe faraja kuwafariji wahusika. Naye akifika anaanza kuloloma hadi kamasi😀😀
 
Kinachomliza Mwanamke msibani istafisiriwe kama ni upendo kwa upande wao. Ni hofu ya Mwanamke juu ya kifo kama kifo na kifo chake yeye. Ndiyo maana mara chache huweza kumuuaga marehemu bila sapoti na wengine hukwepa kabisa wakati wa kuaga kwa mara ya mwisho.

Hisia za hofu humchanganya hadi kupelekea Kilio .
Mwanamke anajipenda yeye kuliko kiumbe yeyote yule.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
"Mwanamke anajipenda yeye kuliko kiumbe yeyote yule."

Linaukweli hili?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom