You're making a very big mistake to allow your wife to work..

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Again, you are making a grave mistake for allowing your wife to get employed. I want to glue this to your head brother.

You work hard, I mean you as a MAN should work really hard to pay the dues and support the family.

Mkeo anapaswa atengeneze 'home' for both of you and your kids. Huo ndio mgawanyo sahihi wa majukumu.

Mwanamke ana raha sana akiwa mwanamke!
 
Wanawake........

Mwanaume akikwambia acha kazi....

Run...

RUN

RUUUUUUUUUUUUUUN

miezi 6 tu baada ya kuacha kazi utakuja kuomba ushauri kama sio jf basi fb......

Tunaona huko fb

Wanawachisha kazi...tena nzuri zinazolipa hasa...na kuwaachisha biashara

Baadae hata hela ya sabuni hatoi

Mpaka pedi inabidi uchane kanga.....

Ila hapa jf wanaume watajifanya kila.mmoja anahudumia familia

Narudia tena run run run
 
Mwanaume hata ada ya mtoto kutoa shida! Anaona watoto wanakula na kuvaa, ukiacha kazi si ndio kila siku utakuwa mteja wa ustawi wa jamii? Fanya kazi na uhakikishe unatoa huduma nyumbani kama mama.
 
Kwani hao wanawake wanaofanya kazi majukumu wanamwachia nani?

Wanaenda ofisini

Na bado wanahudumia watoto, waume na nyumba zao

Hapa nazungumzia uwajibikaji.. Kila mtu atambue nafasi yake na awajibike.. Mwanamke mzuri hawezi kukubali kwenda kufanya kazi, majukumu ya nyumbani anamwachia nani?

Halafu mwanamke kuwa housewife sio udhaifu, ni heshima kubwa mno..

Na Ukiangalia makabila mengi ya kiafrika.....

Wanawake wanadamka alfajiri kulima....
Na kuhakikisha familia ina chakula........still wanapika wanalewa watoto mume na nyumba

All in all

Wanawake msithubutu kuacha kazi

Mtaisoma namba

Tunayaona mitaani jamani

Wengi mnaishia kupaukaaaa hata 1000 ya poda mnakosa
 
Kweli life so good kama mgawanyo wa majukumu ukiwa hivyo ila hawa hawana jema, Akishinda home either awe hajijali outdated au muda wa umbea umbea tu, Kwangu kazi atafanya hakuna muda wa kukaa nyumbani ila I must be her boss
 
Mbona watu wanajipigia tu mahousewife,

Acha kuwa inferior, ww tafuta hela kwa nguvu zoote, yaan ajue ukimwacha atajuta sana.
 
Kwani hao wanawake wanaofanya kazi majukumu wanamwachia nani?

Wanaenda ofisini

Na bado wanahudumia watoto, waume na nyumba zao

Na Ukiangalia makabila mengi ya kiafrika.....

Wanawake wanadamka alfajiri kulima....
Na kuhakikisha familia ina chakula........still wanapika wanalewa watoto mume na nyumba

All in all

Wanawake msithubutu kuacha kazi

Mtaisoma namba

Tunayaona mitaani jamani

Wengi mnaishia kupaukaaaa hata 1000 ya poda mnakosa
Hajui alisemalo huyo msamehe tu.
Mke akae nyumbani alee watoto, atunze nyumba, watoto wakirudi toka shule wamkute. Mume ndiye afanye kazi ili amtunze mkewe na watoto kwani ndiye mwenye wajibu huo. Ok sasa mume akifa? Mke akarithiwe ili apate mwanaume wa kutunza familia? Akajiuze?
KOSA KUBWA KULIKO YOTE AMBALO MWANAMKE ATAFANYA MAISHANI MWAKE NI KUACHA KAZI KWA SABABU YA MWANAUME!! FULL STOP.
 
Wanawake........

Mwanaume akikwambia acha kazi....

Run...

RUN

RUUUUUUUUUUUUUUN

miezi 6 tu baada ya kuacha kazi utakuja kuomba ushauri kama sio jf basi fb......

Tunaona huko fb

Wanawachisha kazi...tena nzuri zinazolipa hasa...na kuwaachisha biashara

Baadae hata hela ya sabuni hatoi

Mpaka pedi inabidi uchane kanga.....

Ila hapa jf wanaume watajifanya kila.mmoja anahudumia familia

Narudia tena run run run
Pamoja na kuwa Mimi ni mwanaume, siafiki alisemalo mtoa hoja. Ukitaka familia ineemeke lazima uoe mwanamke msomi na awe na uhakika Wa kuingiza kipato. Huyu bado ni vijana wanaillusions hata sie enzi zile za balehe tuliona hivyo! Katika hali hiyo kila kijana ana wivu wa kuchapiwa. Hivi magolikipa hawitoi k?
 
Wanawake........

Mwanaume akikwambia acha kazi....

Run...

RUN

RUUUUUUUUUUUUUUN

miezi 6 tu baada ya kuacha kazi utakuja kuomba ushauri kama sio jf basi fb......

Tunaona huko fb

Wanawachisha kazi...tena nzuri zinazolipa hasa...na kuwaachisha biashara

Baadae hata hela ya sabuni hatoi

Mpaka pedi inabidi uchane kanga.....

Ila hapa jf wanaume watajifanya kila.mmoja anahudumia familia

Narudia tena run run run
Utakuwa umeolewa na mwanaume wa Dar
 
Mwanaume hata ada ya mtoto kutoa shida! Anaona watoto wanakula na kuvaa, ukiacha kazi si ndio kila siku utakuwa mteja wa ustawi wa jamii? Fanya kazi na uhakikishe unatoa huduma nyumbani kama mama.
Nimekupenda bure kumbe wako wengi wa hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom