Nimekuta huyu mdada anatafuta mume

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,476
11,628
Nilijisajili kama mwanaume kwenye dating site moja ili kuona yanayofanyika upande wa akina dada wenzangu na mapicha yao
Basi katika kupangusa kushoto kulia nkakutana na huyo dada
Kwakweli ni mzuri hadi sura. Kaandika kwa ukali aisee "if you are not serious dont text me.. I need only serious relationship no jokes pls.. I need a string attached relationship.. Marriage
Ana picha kibao mzuurii. Sasa najiuliza wanaume hawamuoni huko uraiani hadi aingie kwenye dating sites kutafuta mume?
Mi najua sie akina mti mkavu shape ya mgomba sura ya baba ndo wa kukimbilia huko
Sasa kama ye yupo huko sie akina mwajuma ndala ndefu migulu baja twende wapi??
Kwani wanaume mna nini siku hizi?
IMG_20181105_072522_311.JPG
 
Mwanamke kuanza kutumia majina ya kiume na Picha za kiume kwa ajili ya hayo, ni dalili za USAGAJI.

Vivyo hivyo mwanaume kutumia majina ya like na Picha za kike kwa ajili hiyo, ni dalili za USHOGA.

Lakini juu ya yote ni kuanza kujifunza UTAPELI.
 
Hapa kavaa nguo za kikahaba. Na ukahaba ni roho, unamwoa unamweka ndani anakumbuka enzi zake.
Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kumwoa mwanamke;
-Anayevaa suruali inayoonyesha shape take
-Anayevaa transparency cloth yoyote.
Anayeacha sehemu ya kifua/matiti wazi.
-Anayeacha magoti wazi
-Anayeweka mabreach au kunyoa vifuku au vijogoo n.k
Hata wale wanaotafuta Malaya bar and any where cha kwanza hutazama mavazi au hair style ya mwanamke ndo hupata jibu kuwa huyu Malaya au LA!
 
Haa compact ni sehemu ya ukorofi wangu tuu
Mwanamke kuanza kutumia majina ya kiume na Picha za kiume kwa ajili ya hayo, ni dalili za USAGAJI.

Vivyo hivyo mwanaume kutumia majina ya like na Picha za kike kwa ajili hiyo, ni dalili za USHOGA.

Lakini juu ya yote ni kuanza kujifunza UTAPELI.
 
Well said ila kuvaa suruali ya kubana hapana

Back
Top Bottom