Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa jina la salamu natumai hamjambo Wakuu kweli Mungu ni wa ajabu sana, kuna ndugu yangu mmoja alimfukuza mkewe kisa kamzalia mtoto albino akidai katika ukoo hawapo hivyo atakua alichepuka...
10 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu Huyu manzi ndo ashanitema kihivo au?
4 Reactions
157 Replies
14K Views
Eebanae kwa uchunguzi wangu, wenye ukweli 100%, wadada ambao wapo JF lakini hawachangii kitu wanakua wapo bomba sana? Halafu wenyewe wanatumia majina yao halisia sio ID fake. Duuh!! Mafisi...
9 Reactions
283 Replies
20K Views
Eti mtu asipocheza (asipokuwa mtu wakupenda wanawake sana) ujanani basi atafanya uzeeni? na je akicheza ujanani basi atatulia uzeeni?
1 Reactions
5 Replies
854 Views
Leo nimepokea sms kutoka kwa mdogo wangu ambaye huwa namshauri mambo mbali mbali ya maisha. Tafadhari soma attachments hapa chini alaf uache ushauri wako
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Mtoto ana mengi anajifunza kwa kuona na kusikia kutoka kwa wazazi au walezi wake. Imezoelekeka kwenye jamii zetu nyumba ikiwa na watoto wadogo wanapotembelewa na mgeni iwe ndugu au la!, wazazi...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari za humu wa JF, Mimi ni kijana umri 24 naishi Dar es salaam. Nilikua na baba ambaye alikua yupo katika mahusiano na mama mwingine (wakambo), kwa muda alianza sumbuliwa na cancer mpaka badae...
13 Reactions
112 Replies
11K Views
Igweeeeee, Wadau mambo vipi kiukweli ndugu zangu wanawake wanapishana masham sham baada ya kumgegeda bao la kwanza . Wadau sijui tatizo ni kwangu tu yaani kuna baazi ya wanawake nikimaliza...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Some women would rather work themselves to an early death than bring a house girl into the house. In the event that they do bring one, they go to great extents to find an elderly house girl, one...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna utafiti nataka nifanye kuhusiana na mahusiano; nataka nijue ni kwa nini jinsia tofauti (Ke na Me) zikikaa sehemu moja kwa muda mrefu, lazima waanzishe mahusiano. Equation x (me) anataka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya misukosuko ya hapa na pale ya Mimi na mpenzi hatua tuliofikia ni kupeana likizo kwa muda. Ambapo mpenzi wangu ameniomba nimpe miezi mitatu ya kutulia na kujitafakari kama tuendelee au...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Natafuta mchumba jinsia ya kiume, sina sifa nyingi ni moja tu aweanajua majukumu yake kama baba wa familia. Elimu hata ka dergee kamoja kananitosha akiwa juu ya hapo yote heri. Awe mcha mungu...
0 Reactions
78 Replies
11K Views
Nimekuwa nikifuatilia mafundisho ya dini na makala tofauti tofauti huku JamiiForums, leo ninanvyoandika Uzi huu nimeona makala inayosema kuchunguza ma-Ex za wake watu something like that nimeusoma...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Huyu dada kaomba ushauri mmempa mzuri tu na hii hali zinawatokea watu wote halafu mnawapa ushauri mzuri ila kwangu matusi mazito,presha , madharau na nini unajua nini sijali maana wala hamnipi...
4 Reactions
81 Replies
6K Views
Hivi ni kweli wanawake wote tunaowatongoza na kutukubalia ina maana ni kweli walikuwa single? Hili ni swali nimejiuliza sana leo kwa sababu kwa siku naweza tongoza wanawake zaidi ya watatu na...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanaposikia unapendana na msichana mwengine au wanaweza kuua wanaposikia umeongeza mke wa pili ? AU kwa nini wanawake wanakuwa na wivu kuliko wanaume ?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Neno 'Nyumba ndogo' sio geni katika vinywa na masikio ya watu wengi. Kwa nini akina baba wanathamini sana nyumba ndogo kuliko wake zao wakubwa?Yaani mke wa kwanza. Nyumba ndogo inatunzwa na...
0 Reactions
126 Replies
20K Views
Baada ya "kufurahishana" na kila mmoja kutosheka, mara lahaula :eek:!,...badala ya kumwita mamsapu kwa jina lake, linakutoka jina la msichana mwingine kabisaaaa... Utamjibu vipi Madame ambaye...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
How To Check If a Girl Is Really Interested in You If you want to start a relationship with a girl, the first thing to do is to check if she's really interested in you. The problem is that body...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
...(No comment!) ========= Croatian footballer who had sex on pitch with glamour model wife Croatia international Dino Drpic and his wife Nives Celsius had intercourse on the centre spot of his...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…