Ndugu zangu Tumsifu Yesu Kristu, Asalaam aleykum, Bwana asifiwe!
Leo Jumapili Padri ametufafanulia zaidi juu ya kinachosemwa na vyombo vya habari vya kimagharibi kwamba Papa Francis ameruhusu...
Waungwana,
Kutokana na hali kuwa ngumu, wengi wamepunguza michepuko na si kuacha kabisa, lakini tofauti na kwangu kabisa. Mimi nimekuwa na michepuko kiasi kwamba kwa sasa hivi naweza jaza YUTONG...
Nipo hapa Katoro nimekuja malizia likzo yangu kwa braza ambaye kapanga nyumba pamoja na wapangaji wengne na 90% wameoa na kuolewa. Sasa jana mjuba nikataka kuoga na bafu na choo ni public , basi...
Kuna hii kasumba sana ya watu kuwaponda sana wapenzi wao wa zaman, misemo kama
Bora ninye ukweni kuliko kurudiana na Ex
Nikae jera kuliko kurudiana na Ex
So ebu tuambie ukikuta Ex wako kanona n...
Unamwambia nini mpenzi wako kuhusu marafiki zako wa damu, wale marafiki zako damu damu, wapuuzi wenzio ambao mnaitana kila aina ya majina, makamanda, masela, washikaji, namaanisha wale watu wako...
Natumai Hamjambo Wakuu
Kuna Haka Ka Tabia Wadada Wengi Mnako Sana, Unakuta Unamzoea Sana Kijana Wa Watu Mpaka Anahisi Umemuelewa, Anajiongeza Anakutongoza Alafu Unamkataa Nakumnunia Juu, Sasa...
Japo ananipigia simu ananitumia meseji za kunisalimia kunijulia hali lakini nimegundua kuna dalili muda wowote huyu mpenzi wangu ataniacha tu kwani siku zinavyozidi kusonga mbele mambo yanazidi...
Ni hivi kama unataka kuowa mwanamke na kwao yeye ni mzaliwa wa kwanza na kwao wamezaliwa zaidi ya watoto watano na wewe muoaji pia ni mzaliwa wa kwanza na kwenu mpo zaidi ya watatu usioe huyo...
Habari za wakati huu waungwana?
Jamanimwenzenu nina changamoto nimeipata kuhusiana na mzazi mwenzangu.
Iko hivi huyu mwanamke tumezaa mtoto ambae kwa sasa ana umri wa mwaka mmoja na miezi 7...
Mapenzi ya watu sio ya kuyaingilia hata ukiona jamaa yako anapotea we chuna tu , ukitaka uonekane mchawi kosoa penzi la mtu.
Mapenzi huwa yanapiga upofu ndio maana waswahili wanasema mtu akipenda...
Eti ananipenda sana haswaa, yaani sjawahi ona mapenzi kama yale but ana mtoto mmoja yaani kaachika coz mume wake alikua akimnyanyasa sana.
Nimeamua bora kama fedha na mambo mengine nimpe tu kama...
Ukifiwa na mke au mume huku ukiwa na watoto kuanzia wawili, ni vizuri usioe/usiolewe tena. Ni bora hamu zako uwe unazimaliza juu kwa juu lakini usikaribishe mtu kwenye mali mlizotafuta na mwenzako...
Nilisimulia kisa cha mimi kupigwa na wife na frying pan na remote jichoni. Wengi walinilaumu kuwa nilipaswa nimchakaze vibaya wife.
Soma Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...
Nisiwachoshe wananzengo direct kwenye point
Eti wakuu unapotaka kuoa mke ni kipi mhimu - mvuto wa kimapenzi au tabia na busara?
Mwenzenu ati akiwa na adabu vipi asiponivutia nahisi kitu...
Habari za humu wakuu, poleni na majukumh lakini tusichoke kumsaidi Rais kuipeleka nchi kwenye uchumi wa kati wa viwanda
Twende kwenye mada ni msichana wa mshkaji wetu flani hivi yaani haonekani...
Huyu demu sikubahatika kumlamba ile ipasavyo, kwa sababu mara zote alizokuwa anakuja gheto nikitaka kuanza kupiga game anajikunja kunja na kubana mapaja yake anasema dushe langu linamuumiza...
Maisha ya mjini yansikitisha sana
Nlikua stendi kwenye daladala, halafu ghafla akaja mdada mrembo ameshika pakiti kama 4 hivi za tambi za kukaanga..akataka kuniuzia nikakataa akageuka akaenda...
Habari wana jamii najitokeza humu kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia.
Wasifu .miaka 33
Dini - mkristo kkkt
Elimu - kidato cha sita
Kazi - jobless
Makazi - dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.