Ajali kazini...

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
dpan1341l.jpg
Baada ya "kufurahishana" na kila mmoja kutosheka, mara lahaula :eek:!,...badala ya kumwita mamsapu kwa jina lake, linakutoka jina la msichana mwingine kabisaaaa...​

Utamjibu vipi Madame ambaye tayari uso keshaukunja, kawiva kama nyanya, anakukodolea macho hapo kitandani na maswali mfululizo..."umeniita nani?, ... nakuuliza jina langu hulijui siyo? umemkumbukia mwanamke wako?... huyo ulomtaja ndiye nani?... kwanini umtaje hapa!?"...
 
Mwambie tu ulimi hauna mfupa,akikazana zaidi...mwambie mwanamke niliyomtaja umekutana naye leo anasema anakufahamu na huwa anakukuta sehemu fulani ...so najribu kufikiria hili si amini, kwani huwa unaenda sehemu gani iliyojificha? then muone atakvyobadilika ghafla!
 
Hilo si tatizo umwambie umemkumbuka sana Miss World ambaye ulikuwa unaitazama picha yake mchana huo,na kuwa mnafanana kweli kweli.
 
...ha ha haa... duuuh!... atakubali kweli wakati tayari ushamuita wifey (mfano) '...WEMA SEPETU?'
 
lol......kinachofuata na kibano...mwanawane utashushiwa ngumi kama mvua

wanawake sikuizi mabaunsa
 
hii ni balaa, nakumbuka nilimtoa out my ex years ago kumbembeleza baada ya kuhusi nina mahusiano na co worker wake,nikiwa nimeshajieleza vya kutosha na kuanza kueleweka alitokea rafiki yangu damu na kumwita kwa jina la yule aliyekuwa anamuhisi..wee paligeuka uwanjwa wa mapambano kwa muda...ni balaa
 
...:D pole sana, story yako inafana-fanana na ya Bi Lucy Kibaki, Kenyan 1st Lady...;

On December 12, 2007 she slapped a government official who confused her name with that of Mary Wambui, a woman who has been reported as being the president's second wife. Lucy Kibaki slapped the Government Principle Administrative Secretary after he referred to her as "Wambui" during a presidential awards ceremony, independent NTV reported. The Government Principle Administrative Secretary, whose name is Mr. Francis Musyimi, immediately stopped officiating the ceremony at the State House in Nairobi and was whisked away by security forces,
 
hii ni balaa, nakumbuka nilimtoa out my ex years ago kumbembeleza baada ya kuhusi nina mahusiano na co worker wake,nikiwa nimeshajieleza vya kutosha na kuanza kueleweka alitokea rafiki yangu damu na kumwita kwa jina la yule aliyekuwa anamuhisi..wee paligeuka uwanjwa wa mapambano kwa muda...ni balaa
Ha ha ha Kitey tey u sound like my friend.... LOL
 
Mh! hiyo ni soo maana hata ingekuwa kunyume chake. Yaani after majambo - unaskia leo Joe uminifikisha mlima njaro!! wakati wewe unaitwa Mike na ulikuwa una msuspect Joe kuwa unakuibia
 
...duh, ndio utakurupuka kuwasha taa au kufungua pazia mwanga upite? ha ha haa... na hizi BP na stroke za siku hizi unaweza ku 'rest in peace' glafla!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom