Pitia hapa umshauri huyu dogo. Amuoe nani?

Pitia hapa umshauri huyu dogo. Amuoe nani?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,478
Leo nimepokea sms kutoka kwa mdogo wangu ambaye huwa namshauri mambo mbali mbali ya maisha. Tafadhari soma attachments hapa chini alaf uache ushauri wako
Screenshot_2020-06-07-21-28-44-1.png
Screenshot_2020-06-07-21-28-57-1.png
 
Hahahhaahah yani apo kanaswa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mara Mia mchaga anaweza pata shuruba za ndani Ila pesa anaweza kuzishaka Ila mrangi ata gongewa na pesa atakuwa anampa sasa achagua moja kunyoa Pannki au upara
 
Kaa mbali nae muache achague nwenyewe asije shindwana na utakae mshauri aanze kukutupia lawama,

Halafu hata uwe na wapenzi wawili lazima mmoja utakuwa unampenda zaidi

Muaxhe dogo achague mwenyewe.
 
Si amesema yuko tayari kuoa yeyote kati ya hao wawili? Sasa anataka ushauri wa nini tena?

Au anatafuta mtu wa kumshushia lawama hapo baadae mamno yakienda kombo?

Hajielewi huyo, hakuna mtu anaweweza kupenda watu wawili kwa kiwango sawa. Lazima kuna upande mzani utashuka zaidi. Bhas ndio aelekee upande huo huo ambao mzani umeshuka zaidi.
 
Mwambie kijana achukue mrangi... Hi, o degree hazina faida yoyote kwenye ndoa... Bora uchukue mrembo maana hiyo itakupa hamasa ya kuchepuka na wazuri zaidi ya mke wako....wakati wakuchangua ke degree haina value
 
anaogopa kugongewa
 
Hahahhaahah yani apo kanaswa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mara Mia mchaga anaweza pata shuruba za ndani Ila pesa anaweza kuzishaka Ila mrangi ata gongewa na pesa atakuwa anampa sasa achagua moja kunyoa Pannki au upara
Kwa hyo hapo ni achague fursa ya pesa
 
Back
Top Bottom