Hivi wanawake wote tunaowatongoza na kutukubalia ni kweli walikuwa single?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Hivi ni kweli wanawake wote tunaowatongoza na kutukubalia ina maana ni kweli walikuwa single?

Hili ni swali nimejiuliza sana leo kwa sababu kwa siku naweza tongoza wanawake zaidi ya watatu na wawili kati yao lazima wanikubali ina maana ni kweli wapo single au ndio ile cycle inatembea wakuu?

Na kama kweli wapo single ina maana hapo nyuma haja zao walikuwa wanazitoa wakina nani?
 
Kwani wewe unaridhika na huyo mmoja.?

Wapo na wapenzi, ila sio kama wamefika bali ndo aliyewahi.... ukipiga saundi anakulinganisha ukizidi kidogo anahamia kwako.

The hunt continues..... hadi zamu yako itakapoisha atahamia kwa mwingine.
 
Back
Top Bottom