fierceman JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 553 Reaction score 758 Jun 11, 2020 #1 Eti mtu asipocheza (asipokuwa mtu wakupenda wanawake sana) ujanani basi atafanya uzeeni? na je akicheza ujanani basi atatulia uzeeni?
Eti mtu asipocheza (asipokuwa mtu wakupenda wanawake sana) ujanani basi atafanya uzeeni? na je akicheza ujanani basi atatulia uzeeni?
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Jun 11, 2020 #2 sio tu ujanani na uzeeni.. pia hata kama atapitiliza pia uzeeni ujue atafanya kaburini... nimemaliza.
sio tu ujanani na uzeeni.. pia hata kama atapitiliza pia uzeeni ujue atafanya kaburini... nimemaliza.
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,512 Reaction score 15,125 Jun 12, 2020 #3 Si kweli na haya mambo hayatabiriki
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,193 Jun 12, 2020 #4 Si kweli ni Myth tu.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,578 Reaction score 18,952 Jun 12, 2020 #5 Inawezekana.....
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,201 Jun 12, 2020 #6 1 Chaputa ujanani ndoa uzeeni. 2 Ndoa ujanani chaputa uzeeni. Tafakari nilichokiandika hapo Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
1 Chaputa ujanani ndoa uzeeni. 2 Ndoa ujanani chaputa uzeeni. Tafakari nilichokiandika hapo Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️