mambo yasofaa kumfanyia mkeo/mumeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mambo yasofaa kumfanyia mkeo/mumeo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Jan 23, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...(No comment!)

   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,586
  Likes Received: 82,136
  Trophy Points: 280
  Kama walikubaliana kufanya hivyo na hawakuvunja sheria, basi hakuna tatizo.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  sasa kama huyo nae demu alikubali sii wote basi wana kosa?

  Huenda ni demu alipendekeza!
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kuna kumkubalia mwenzako kwakuwa tu unampenda, na hutaki kumuudhi...
  ...the case of Unwilling partnership... mbaya zaidi ni pale huyo mke aliposema alikubali kufanya hivyo kutimiza dhamira ya mumewe.
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Jingine naloona lisilofaa; Imagine upo na mamsapu pamoja na rafiki na jamaa zako wengine. Inawezekana View attachment 3379 (kama seal hapa!) mpo supermarket, almuradi kwenye umati wa watu. Kufumba na kufumbua mamsapub anakupa handbag yake umbebee...si kudhalilishana huko? au mnasemaje waungwana? ...ubwege huo!
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...solve you problems before you go to sleep! mambo ya "...ebwanaaa eeeh! ukiendeleza kelele zako nitakutwanga" unamfanyisha mwenzio apatwe na usongo wa mawazo! ...sumtime hivi vitanda vya 6*6 vinabomoa badala ya kujenga, huyu analala huku yule kuleeeeee...
  View attachment 3380
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...na wale wenye tabia za kununa nuna, mnapishana ndani ya nyumba kama mabubu sio fresh. Kuna wengine wana kisirani kiasi kwamba wapo nyumba moja lakini mawasiliano ni kwa Txt msg, au vikaratasi (hasa kinamama na tabia hiyo :D) Imagine inapofikia hali hii...
  ...acheni hizo! ...kipo kisa cha kweli, mke kamnunia mumewe japo wamelala kitanda kimoja mpaka asubuhi. Asubuhi (mke) huyoo kajiandaa kaenda zake kazini bila hata "...hujambo bwana!", kumbe mumewe hapo kitandani alishakata roho usiku huo:( !
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...utu ni bora kuliko mali, hata kama kitu umekigharamia kiasi gani, thamani yake haiwezi lingana na better-half ulokuwa naye!
  ...halafu kuna wale ambao familia zao zinashukuru wanapokuwa hawapo nyumbani, jirekebosheni la sivyo licha ya mke kukuogopa hata wanao wanaweza kukubatiza "...simba huyooo anarudi!" ...Mkeo akuheshimu, sio kukuogopa!
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mwenye nyongeza aendeleee...Wikiendi njema :D
   
Loading...