Kwanini wapenzi wa Kike wanakuwa na hasira wanaposikia ?

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Wanaposikia unapendana na msichana mwengine au wanaweza kuua wanaposikia umeongeza mke wa pili ? AU kwa nini wanawake wanakuwa na wivu kuliko wanaume ?
 
Because they do not know exactly what they want in life. For men is just money/wealth BUT for women is a complex thing to visualise by them women.
 
Coz they don' wanna share the thin' Chake anataka kula peke yake. Wanaume pia hawapendi ila huwa wanajiconsole kwa kwenda kula za kununua. Kwa mademu ni ngumu!!
 
kwenye mapenzi ya dhati wivu hauchagui jinsia, mkeo/mpenzio unampenda kupitiliza utaweza kuona/kuckia anatoka na fulani ukaona kawaida tu? haiwezekani.
 
kwa mtu unayempenda lazima uchukie tena sana, na ushikwe na wivu hiyo ndo sababu, ukiona mtu hakuulizi wala kukuambia kitu hata akikuona na mtu ujue hakupendi.
 
hata mimi sipendi kusikia sembuse kuona demu wangu anatoka na man mwingine......na ikitokea adhabu yake ni kuachwa tu on the spot
 
Hasira zaidi wanakuwa nazo wanawake au sivyo ? nafahamu hata wanaume tupo na hasira lakini hazizidi za wanawake ,na anafikia hata kusema au kudai talaka ,au uwongo ?
 
wanaposikia unapendana na msichana mwengine au wanaweza kuua wanaposikia umeongeza mke wa pili ? Au kwa nini wanawake wanakuwa na wivu kuliko wanaume ?

kwani wewe utajisikiaje ukiambiwa wa kwako anapenda mwingine au anataka ongeza mme wa pili!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????

We are all human and its our nature to protect and nurture what we love, they are only expressing what any male or female mammal would do... Lets be fair and understand that women are human too hence same same feelings as men

check with our neighbors monkeys, cats, dogs etc.
 
Wanaposikia unapendana na msichana mwengine au wanaweza kuua wanaposikia umeongeza mke wa pili ? AU kwa nini wanawake wanakuwa na wivu kuliko wanaume ?
kwa sababu hawana moyo wa uvumilivu
 
Back
Top Bottom