Joto la mwili ni muhimu mno kwenye kuchochea hisia za mapenzi, mara nyingi utasikia mtu anakuambia, joto lake tu latosha! Unamhug mtu unahisi kabisa jinsi mwili wake ulivyo wa moto unahisi...
Wanawake wana silaha moja kubwa sana 'meno' na wanajua kuitumia vilivyo, meno yana sumu mbaya na jeraha la meno huacha alama au kovu la kudumu kwenye mahusiano daima kutoelewana...
Mwanamke unapomfanyia visa mwanaume tambua ipo siku utajuta kwa uliyoyatenda, nimeamua kubreak up mahusiano baada ya kushindwa kuendelea na vituko alivyokuwa ananifanyia. Leo ndo ameniona wa thamani.
Kama wewe ni mwanaume una miaka 25 na una date na mwanamke wa miaka 30 jua hapo wewe mwanaume ndio umepatwa!
Na kama wewe ni mwanamke una miaka 19 na una date na mwanaume wa miaka 30+ jua wewe...
Hivi nimeshakutana na watu kama watatu wakiliona suala la wenza wao kuwa na urafiki sana na wanaume kuliko wanawake. Kisingizio wanawake hawapendani. Nao wanaridhika kabisa
Kuna kuwa kuna urafiki...
Hili ni kabila linapatikana pale Mbeya mjini kama umewahi kuishi huko itakuwa ushawafahamu aloooo hawa watu ni wapole sana na ni wachapakazi balaa na ni wavumilivu sana katika mapenzi huwa sio...
Hatari: Aina 10 za Wanawake Ambao Mwanaume Hafai Kuwa na Uhusiano Nao Zaidi ya Kujitakia Matatizo.
Japo kila mtu anakasoro zake ila kuna tabia ndogo ndogo ambazo huleta maharibiko kwenye...
Wakuu salamu.
Kuna mpenzi wangu mmoja hivi wa muda mrefu kidogo, yeye yupo kwake na mimi nipo kwangu.
Sasa, sometimes naona kama vile hatupendani kivileee, so nikaamua nitafute mpenzi mwingine...
Nakumbuka ilikuwa siku ya Boxing Day miaka ya nyuma kidogo enzi hizo nikiwa sekondari kidato cha nne nilikuwa na mpenzi jirani yaani hatua chache kutoka nyumbani kwetu. Kutokana na kutamani...
Usingizini mbaya sana hasa unaoambatana na ndoto za kuongea.
Mke wa jamaa yangu hapa Kiwira, Tukuyu Mbeya ameota kwa sauti akisema "John uume wako mnene" huku jamaa haitwi John anaitwa...
Nikiwa na umri wa miaka kumi nilitumikishwa kingono na binti wa kazi maarufu house girl. Wazazi wangu walikuwa watumishi Wilaya ya Mwanza enzi hizo sasa Nyamagana, katika mazingira hayo ilibidi...
Tendo la ndoa ni kitu ambacho watu hudhani kuwa kinatakiwa kufanywa usiku. Naam, unaweza kufanya tendo la ndoa muda wowote, lakini ukweli ni kwamba kulifanya tendo la ndoa usiku tu inaweza...
Kwa jina la salamu natumai hamjambo
Wakuu kweli Mungu ni wa ajabu sana, kuna ndugu yangu mmoja alimfukuza mkewe kisa kamzalia mtoto albino akidai katika ukoo hawapo hivyo atakua alichepuka...
Eebanae kwa uchunguzi wangu, wenye ukweli 100%, wadada ambao wapo JF lakini hawachangii kitu wanakua wapo bomba sana?
Halafu wenyewe wanatumia majina yao halisia sio ID fake.
Duuh!! Mafisi...
Leo nimepokea sms kutoka kwa mdogo wangu ambaye huwa namshauri mambo mbali mbali ya maisha. Tafadhari soma attachments hapa chini alaf uache ushauri wako
Mtoto ana mengi anajifunza kwa kuona na kusikia kutoka kwa wazazi au walezi wake.
Imezoelekeka kwenye jamii zetu nyumba ikiwa na watoto wadogo wanapotembelewa na mgeni iwe ndugu au la!, wazazi...
Habari za humu wa JF,
Mimi ni kijana umri 24 naishi Dar es salaam. Nilikua na baba ambaye alikua yupo katika mahusiano na mama mwingine (wakambo), kwa muda alianza sumbuliwa na cancer mpaka badae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.