Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za leo wandugu, Dunia hii kuna wengine hawajawahi kabisa kuishi katika nyumba za kupanga, wengine maisha ya uswazi hawayajui kabisa, basi leo nimeona tuangalie maisha katika nyumba za...
26 Reactions
285 Replies
68K Views
Habari wakuu, Nimeona wataalamu wakishauri miongoni wa njia za kuamua jinsia ya mtoto ni kutumia Calendar au mzunguko wa hedhi wa mwanamke unayepanga kuzaa nae. Najua si 100% itakupatia matokeo...
7 Reactions
142 Replies
17K Views
Mpende mke wako mzuri Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana. Mithali 15:1 Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuita Mwanzo 2:19 Usimpe mwanamke...
26 Reactions
71 Replies
6K Views
Habari zenu Jf. Kuna mtindo baadhi ya wazazi kuwapokea mabint zao wanaporudi kutoka kwa waume zao sababu ya migogoro. Wanapofika wanawapa hifadhi bila hata kuwauliza kilichowaleta matokeo yake...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
1. Usipokee simu ukiwa na mchepuko/mke wa mtu (unaweza kuwa unafuatiliwa) kupitia mnara wa karibu wa kampuni ya simu husika. 2. Usitumie gari yako inayofahamika (Chukua Taxi/UBER/Bajaj/Boda boda)...
9 Reactions
93 Replies
14K Views
Habari wakuu, Bila kupoteza mda hebu nijikite kwenye mada Jamii yetu imezungukwa na utamaduni tofauti katika kukuza na kulea watoto, wapo wanaoamini kuwa hatupaswi kuiga tamaduni za kimagharibi...
1 Reactions
2 Replies
996 Views
Salaam Chukulia mpenzi wako amekuambia anataka umsaidie ajiunge na Jamiiforums. Kwanini huwezi kumwambia ajiunge JF ili na yeye apate kufaidika na mambo mbalimbali? Je, kipi bora kama akijiunga...
8 Reactions
78 Replies
6K Views
Dear Woman/ Girl / Lady I am looking for a woman or girl / lady who is serious and want to establish a strong bond and stable relationship that may end up with marriage between us. Preferably...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Poleni na Majukumu Makamanda, Najua wengi wetu katika umri huo wa miaka 25 ndio tunamalizia chuo na wengine wakiwa bado wanasoma, Ndugu zangu Najua mna ndoto ya kufika mbali kimaisha kwa...
19 Reactions
79 Replies
11K Views
Wahenga walishawahi kusema "mwanamke akikupenda kweli, hawezi acha kukuamini wala kukuacha uende, hata kama una tatizo au hali mbaya kimaisha" Lakini msemo huu, kwangu uligeuka kuwa kilio na pigo...
10 Reactions
115 Replies
24K Views
Natumai mmeamka salama kuyaelekea majukumu. Wakuu wengi hudhani kutokuomba pesa ndo dalili ya mwanamke mwenye upendo wakweli hapana, wengine hudhani mwanamke mwenye upendo wa kweli ni yule asie...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Mabaharia wengi siku hzi huwa tunatembea na vipimo vya ngoma mifukoni pindi tunapoelekea kunako kugegedana. Nakumbusha tujenge tabia ya kutembea na vipimo vya mimba vile vya kutumia mkojo. Halafu...
9 Reactions
65 Replies
5K Views
Nini hatma ya kuwa na mchepuko? Kila kitu huwa kina mwanzo na kina mwisho pia. Mfano mlikuwa wapenzi...baadaye mkaishia kuoana. Je, unavyokuwa na mchepuko mwisho wake ni nini hasa? Ni kumuoa...
7 Reactions
96 Replies
14K Views
Kazi za kuajiriwa au binafsi zinazohusisha kusafiri mbali na makazi ni nzuri maana zina posho na incentives nyingine kulingana na nature ya kazi au ofisi. Lakini katika vitu vinavyochangia...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Hivi ni sahihi mwanaume kumsaidia kazi za ndani mkewe kama kuosha vyombo, kupika na kuogesha watoto?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kujitambua huja tu pale utapojua kuwa; . 1 Kila mtu anataka kumtawala mwenzake kimawazo na anataka Watu wengine wawe wafuasi wake. 2. Viongozi wa serikali ni watu kama wewe na hawapo pale kwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo majira ya jioni ilikuwa mida ya saa moja kasoro, nilikuwa nimetoka zangu mazoezini. Wakati natembea nikamkuta kijana mmoja amemshika binti wa kike msichana kwa makadilio umri chini ya miaka 18...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Naombeni tusaidiane kwa hili,nina rafiki zangu kama watatu hivi, walifunga ndoa katika nyakati tofauti, na hawa jamaa kidogo maisha yao washajipanga hela ya kubadilisha mboga sio tatizo...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna wanawake wa ajabu sana eti akitoka kwenda matembezini na mizunguko yake anapendeza sana ila akiwa nyumbani anajiweka hovyo hovyo kisa yupo nyumbani Asa hili ni kosa kubwa nyumbani inabidi...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom