Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,863
3,482
Wakuu
Huyu manzi ndo ashanitema kihivo au?

Screenshot_20200606-224123.jpeg
Screenshot_20200606-224128.jpeg
 
Usipende sana kuchati chati. Muite muonane live, tanguliza muamala mwambie njoo nina maongezi na wewe.

Akifika kuwa Mwanaume shughulika halafu mwambie kama kuna bwege anayekudanganya hawezi kukupa maisha ntakayokupa mm,Kuwa makini na maamuzi yako ya mahusiano.

Then mwache kama siku mbili au wiki za kutafakari. Usimtafute, atakutafuta yeye.

NB: UKIMWITA ASIPOFIKA USILIE LIE, TAFUTA CHOMBO KINGINE KIKALI.
 
Kumwambia mwanamke kuwa "Hakuna mwanaume anayeweza kukupa maisha kama mimi" ni kujimwambafai kusiko na msingi..Demu kama ameona hawezi kuwa na wewe mwache aende,akirudi mwenyewe mshikishe adabu
 
Sio kujimwambafai ni kujiamini. Kama unajiamini kuwa kweli unampenda we mwambie tu. Au kupewa maisha umechukulia ni upande wa pesa tu? Hata kumthamini na kuhakikisha ana furaha wakati wote ni part ya maisha. Ofcourse na pesa mpe ya kutosha kadri ya uwezo.
 
Usipende sana kuchati chati. Muite muonane live, tanguliza muamala mwambie njoo nina maongezi na wewe.

Akifika kuwa Mwanaume shughulika halafu mwambie kama kuna bwege anayekudanganya hawezi kukupa maisha ntakayokupa mm,Kuwa makini na maamuzi yako ya mahusiano.

Then mwache kama siku mbili au wiki za kutafakari. Usimtafute, atakutafuta yeye.

NB: UKIMWITA ASIPOFIKA USILIE LIE, TAFUTA CHOMBO KINGINE KIKALI.
We dogo usifuate huu ushauri.

Mambo ya kumchimba huo mkwara na mtu kashaanza kuandika sms za hivyo ni kujitafutia kupigwa kibuti live.

Hapo binti yupo 50/50 you play this in smart mode mtaendelea, jitie mtambo shupaza shingo binti unampoteza live.

Ushauri wangu. Rudi square one, hii ni one sided story ila kwakua wewe ndiye mwenye shida rudi square one. Acha lawama, lawama = gubu, gubu linachoshaa na wewe unataka kuleta ukidume wa kutaka kupigiwa magoti.

Ukirudi square one na ukajifanya bwege you will lose this battle but your war is her love and you are gonna win that war.

Pia kama ushammega zaidi ya mara mbili huna haja ya kuhangaika.
 
Aufate tu. Unachati chati ya nini. Ita mtu ongea nae live ona reaction yake utajua cha kufanya mapema. Tamthilia za nn?
 
Sio kujimwambafai ni kujiamini. Kama unajiamini kuwa kweli unampenda we mwambie tu. Au kupewa maisha umechukulia ni upande wa pesa tu?
Hapana sijachukulia upande wa pesa tu..ila msichana anayejielewa kama unamjali na anaona kuna future kati yenu ni ngumu sana kufikia huku,n akifika ni bora umuache..labda kama hukumpa hata starter kidogo za hayo maisha uliyosema
 
Upo sahihi. Sasa kuchat nae ni kupoteza muda. Amuite aongee nae live kama haeleweki atafute mtu mwingime, halafu kulia lia na kutaka kuonewa huruma si jambo zuri. Vijana sijui ni hizi bongo flavor za mapenzi zinawaaribu au ni nn?
 
Aufate tu. Unachati chati ya nini. Ita mtu ongea nae live ona reaction yake utajua cha kufanya mapema. Tamthilia za nn?
Baba unampoteza kijana pale kusema amwambie hakuna mwanaume atampa maisha kama atakayompa yeye.

Binti mwenyewe anaonyesha kuzichoka baadhi ya ishu halafu ndiyo ukamtambie hivyo?
 
Mwandiko wake tu hauelewi yeye ataeleweka vipi achana nae kiroho safi usilazimishe mapenzi.
Mpaka kafika stage ya amua chochote huo yupo tayari kuachana sema hataki kuwa wa kwanza kufanya hayo maamuzi, hapo anatafuta pa kukupa wewe lawama ni mtego play smart.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Upo sahihi. Sasa kuchat nae ni kupoteza muda. Amuite aongee nae live kama haeleweki atafute mtu mwingime, halafu kulia lia na kutaka kuonewa huruma si jambo zuri. Vijana sijui ni hizi bongo flavor za mapenzi zinawaaribu au ni nn?
Sema mimi msichana wa kunifanya hivi na bado niendelee kumwita face to face tuongee bado sijakutana naye..dalili hizi tayari zinaonyesha hapendwi..
 
Baba unampoteza kijana pale kusema amwambie hakuna mwanaume atampa maisha kama atakayompa yeye.

Binti mwenyewe anaonyesha kuzichoka baadhi ya ishu halafu ndiyo ukamtambie hivyo?
Hiyo nayo ni shida. Itakuwa chat ni nyingi kuliko vitendo vya mwanaume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom